kuna jamaa yangu anayeishi dar nilimkopesha tsh 200,000 mwezi desemba 2012 kwa ahadi ya kurudisha ndani ya mwezi 1.
Nina jaribu kumwomba anirudishie anakua mkali,anasema hana fedha kama polisi nimpleke,kwanza yeye ni mtoto wa mjini(dar), hakuna mtu yeyote wa mkoani anambabaisha wa mkoani wote washamba tu na vijidudumtu.
wanaJF uyu bwana katumia defence mechanism ili nisimdai,na mbaya zaidi hatukuandikishia kwani nilimuamini.
je Kuna mbinu yoyote ya kumfanya uyu bwana anilipe? au niandike maumivu
Tofauti na Dar sehemu zingine zote wanaziita mikoani, hivi Dar hamna mikoa??
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
andika umeumia.Harafu watanganyika wengi wakizaliwa na kuishi mijini wanajiona ndio wamemaliza kila kitu duniani.
wanasahau ya kwamba aya maisha ni ya kusaidiana,ndio maana yeye ni wa mjini lakini alivyopatwa na shida ya fedha nilimsaidia mimi anayeniita mtu wa mkoani
kwani dar kuna nini kipya? mbona baadhi ya mikoa maisha ni mazuri kuriko dar?
kuna jamaa yangu anayeishi dar nilimkopesha tsh 200,000 mwezi desemba 2012 kwa ahadi ya kurudisha ndani ya mwezi 1.
Nina jaribu kumwomba anirudishie anakua mkali,anasema hana fedha kama polisi nimpleke,kwanza yeye ni mtoto wa mjini(dar), hakuna mtu yeyote wa mkoani anambabaisha wa mkoani wote washamba tu na vijidudumtu.
wanaJF uyu bwana katumia defence mechanism ili nisimdai,na mbaya zaidi hatukuandikishia kwani nilimuamini.
je Kuna mbinu yoyote ya kumfanya uyu bwana anilipe? au niandike maumivu
Well said_dar folen,joto,shida ya maji(maji chinvi),uchafu,maisha taabu.....etc,etc
mie naona wajanja na watoto wa mjini wapo Arusha na Mwanza, Hapa Dar ni ubabaifu tu........!
Mkuu kama uko dar, jaribu kumtumia rafiki yake wa karibu amshauri akulipe hata kidogo kidogo, akishamaliza kukulipa basi achana naye. Kama uko mkoani, duh hapo inabidi uwe makini maana mijitu ya hivyo inaweza kukupa hasara zaidi. Lakini pia, watu wa aina hiyo huwa hawafiki popote, kwa hiyo ushauri wa pili jaribu tu kuongea naye kwa lugha nzuri kabla hujapata pesa yako, ikishindikana mpe kumbukumbu itakayomkaa kichwani.
Nahisi kuna ukweli katika maneno yako.mie naona wajanja na watoto wa mjini wapo Arusha na Mwanza, Hapa Dar ni ubabaifu tu........!
wanaJF uyu bwana katumia defence mechanism ili nisimdai,na mbaya zaidi hatukuandikishia kwani nilimuamini.
je Kuna mbinu yoyote ya kumfanya uyu bwana anilipe? au niandike maumivu
Huyu anacheza na akili zako_wewe mfute huko huko dar then utajua la kufanya....ukiona anakuzingua wewe mtindue magumi ya kuvizia....kuna migogoro/matatizo mengine sio lazima utatue kwa diplomatic way_violence and force can be the best way to go.