Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,241
- 90,299
Sijui kwa nini watu wasio na hofu ya mungu wanaoenkana watu wabaya sana ukizingatia watu waliofanya na wanaofanya maovu makubwa katika jamii ni wenye dini na inayoitwa hofu ya mungu. Nafikiri mojawapo ya scam kubwa kuwahi kutokea duniani ni imani ya kwamba watu wenye hofu ya mungu ni wema sana na wasio nayo na waovu wakuu.