Kuisha kwa Mkataba wa Ajira

costa

Member
Feb 1, 2010
7
1
Wanajamii naomba kujuzwa nini athari inayoweza kutokea iwapo mkataba uliosaini ktk ajira umeisha,mwajiri hasemi lolote ila anaendelea kutoa majukumu ya kazi tu na analipa mshahara kama kawaida.Je mfanyakazi akitaka kwenda sehemu nyingine ya kazi afanyeje?(Anaaga vipi maana mkataba wa awali umeisha yapata miezi miwili sasa)Imekaaje kwa mujibu wa sheria za kazi za Tanzania?
 
Kisheria ni kwamba tayari umekwisha saini mkataba mpya kwa terms kama zile za mwanzo.Hivyo kama unampango wa kutimua lazima umpe muda wa notisi kama mlivyokubaliana kama mwazo.

Jaribu kusoma humu kuna tread inayohusu ELRA 2004.
 
Back
Top Bottom