Kuish na mpenzi kabla kufunga naye pingu za maisha ni muhimu sana ili mjuane vizuri tabia!

mathematics

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
3,323
1,105
Kukutana mara mojamoja kwenye mgahawa, kwenda naye out, na vile anakuja kwako na kuondoka haitosh kumjua vizuri hasa kitabia huyo unayetaka awe mume/mke wa baadaye!

Ukiishi naye chumba/nyumba moja kwa muda wa miezi kadhaa isiyopungua mitatu au hata mwaka/miaka kwa muda huo mrefu ni lazima tu ataonyesha rangi zake halisi!

Ingawa hakuna binadamu aliyekamilika, lakini kuna binadamu wana tabia/vijitabia za/vya ajabu asikwambie mtu! ambavyo huwezi kuvigundua mpaka uishi na huyo binadamu chumba/nyumba moja!
 
Ungesoma between the line ungelielewa swali vizuri.labda nikupe hint ya nilichomanisha ,umesema kuishi kwa majaribio before marriage what if ukaishi na wa kwanza ikafail?2?...........
 
Hahahahaha mkuu kisheria ukiishi naye miezi kazaa tu huyo keshakuwa mkeo, na ukitaka kumuacha lazima mgawane mali zilizopo tehy teh teh .......
 
Ungesoma between the line ungelielewa swali vizuri.labda nikupe hint ya nilichomanisha ,umesema kuishi kwa majaribio before marriage what if ukaishi na wa kwanza ikafail?2?...........

fundi uashi tofali likipasuka/kuvunjika kabla hajalisimamisha kwenye msingi huwa ni furaha yake, sababu lile tofali lingewekwa kwenye msingi baadaye lingesababisha ufa! kisha nyumba/ukuta kuanguka!

kwahiyo pale itakapofail kwa huyo wa kwanza/wa pili nitafurahia sababu wa/angekuja kuniletea balaa baadaye! Naamini kama unachagua vizuri list hawezi fika kumi, itaishia kwenye hao wawili watatu!
 
Pingu??? Tena za maisha???? Afu mnazitestia kituo kidogo cha polisi???
Mie bora niende gerezani moja kwa moja

Inaonekana unaogopa kuvigundua hivyo vibaya mapema, sasa ukienda kutana navyo ukiwa gerezani utafanyaje?
 
Hahahahaha mkuu kisheria ukiishi naye miezi kazaa tu huyo keshakuwa mkeo, na ukitaka kumuacha lazima mgawane mali zilizopo tehy teh teh .......

miezi kadhaa ni kama unaona anaridhisha, bila shaka mtu kukaa naye wiki 2 tu, inatosha kumsoma/kumjua tabia yake vizuri tu!
 
Wanasema kinyoga huwezi kugundua rangi yake mpaa umchunguze sana.
 
miezi kadhaa ni kama unaona anaridhisha, bila shaka mtu kukaa naye wiki 2 tu, inatosha kumsoma/kumjua tabia yake vizuri tu!

No!... 2 weeks will never show the true colors................!!!!!
Watu wanakaa miaka na wakiingia tu kwenye ndoa ndo mtu anafunguka mpaka unaona ibilisi kaingia kumbe ndivyo alivyo kihalisia...!!
Kupata ndoa siku hizi kazi, kuna wasaniii wa hii mambo...!!!
 
I agree with the idea of 'Shake well before use' buddy!!..
But three or six moths with a lady in a single roof just for experimental purpose?
I guess its an absurd guys!! I bet uchumba time suffices to this purpose!
 
Huyo binti anayejihamisha kwao hana wazazi?

Naona mi bado ni wa 47...yani kabisa niamie kwa bwana na baba na mama yangu wako hai. Mbona watanifuata na bakora no matter how old I am.

Kama umeshindwa kumchunguza siku anazo kuja kwa wizi, basi maana hao wasio ogopa wazazi na kuamia kwa wanaumje ili wawe tested mi naona ni nut case
 
ni bora umejisema vizuri wewe ni wa mwaka 47, au ni kama vile huishi kwenye jamii iliyopo,

mada ni kwamba kuishi na mwenzi kabla ya pingu ni vizuri ili kumsoma mwenzako, na hii haingalii upande mmoja tu umsome mwingine, hapa ni kila upande kusomana.

off point: hatuangalii utaondoka vipi kuish na partner wako ili msomane, umekurupukia mada, jipange!
 
Back
Top Bottom