Kuipa Dodoma hadhi ya Jiji ni lazima kujadiliwe

Kila ulichoandika ni kinyume na uhalisia. Si ajabu haujawahi hata kufika huko Moshi

Moshi pamoja na Kilimanjaro kwa ujumla wake naifahamu kuliko hata waliozaliwa huko ukiwemo wewe.

Nina alama ya kudumu niliyoacha Moshi pamoja na Kilimanjaro kwa ujumla wake. We nenda ukafungue page ya Mambe Kimambi uone leo amewaagiza kufanya nini.

Mimi sio size yako.
 
Ieleweke kwamba Sina kinyongo kwa mji mdogo na duni kama Dodoma kupewa hadhi ya jiji

Lakini je Kauli au amri ya Kiongozi ina uhalali wa kubadili Mji mdogo kuwa Jiji ? Huo ndio utaratibu wa kupata majiji uliotumika kwa miaka yote ?

Ili mji uwe jiji unapaswa kuwa na sifa zipi , je Dodoma inazo sifa hizo ?
Uchochezi huo.!!!
Wasiojulikana wapo lakini
 
Ni maamuzi ya kipuuzi tu lakini Dodoma haina hadhi ya Kilimanjaro. Maamuzi ya kukurupuka yanaligharimu sana Taifa la Watanzania.
Kilimanjaro Wachagga na Wapare wamehodhi ardhi yote na hawataki kuiachia
sasa mahali km Moshi Mjini, viwanja vyote ni mali za watu na ukiwaomba hawataki kuachia, ila wao ni kusambaa sehemu nyingine kuhodhi pia
Dodoma ardhi ni bwelele Wagogo wao ni kusogea tu na kupisha uendelezaji
Karibu Dodoma utapata ardhi
 
Maamuzi ya kipuuzi na ya kukurupuka
Dodoma na kilimanjaro ni mbingu na ardhi
Dodoma na Moshi au Dodoma na Kilimanjaro?
Note:Kuna tofauti kubwa katika hv vitu viwili Mji na Mkoa.Kilichopewa jiji jana ni mji wa Dodoma sio Mkoa wa dodoma.Hivyo kama ni kufananisha basi ni Mji wa Dodoma na Mji wa Moshi,ambao ukiweka siasa na mapenzi binafsi pembeni, Dodoma imeizidi Moshi kwa kila kitu kasoro usafi wa mji.
 
Dodoma ni mji wa 4 kwa idadi ya watu ikiipita mbeya huku ikiipumulia Arusha kisogoni,next sensa nadhani itakuwa nyuma ya mwanza baada ya Dar
Bila shaka umekidhi viwango in terns of population,mpangilio wa mji,mapato,viwanda na makao rasmi ya serikali
SHIDA UNACHANGANYA WENYEWEJI NA WAGENI WALIOKUJA KWENYE HARUSI.. MWANAFUNZ WA UDOM WALIVYO WENGI LABDA NI CHANZO CHA KUFANYA IDADI KUWA KUBWA ILA WALE WANAPITA TU
 
Ni maamuzi ya kipuuzi tu lakini Dodoma haina hadhi ya Kilimanjaro. Maamuzi ya kukurupuka yanaligharimu sana Taifa la Watanzania.
Minaona sawa tu, hata angeamua kuiteua Dodoma kuwa nchi kamili, atajijua mwenyewe
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Waswahili walisema kutangulia si kufika na kwamba mwenda pole hajikwai, hatimaye leo Dodoma imekuwa Jiji wakiitangulia Manispaa ya Moshi Hongereni sana Wagogo na Warangi......Dodoma hoyeeee!!!
Dodoma imepitia tundu la kisiasa remember
 
Waswahili walisema kutangulia si kufika na kwamba mwenda pole hajikwai, hatimaye leo Dodoma imekuwa Jiji wakiitangulia Manispaa ya Moshi Hongereni sana Wagogo na Warangi......Dodoma hoyeeee!!!
Mtoa Mada kunakitu mimi sijaelewa hapo. Hebu nijuze kutokana na Dodoma kuwa jiji ni nini cha ziada kimeongezeka kwenye kipato cha nyinyi wakazi wa Idodomia. Tueleze kutokana na Dodoma kuwa jiji je kuna ongezeko lolote kwenye huduma za kielimu, afya, kilimo,viwanda, technology na ile normal life kwa kwa wakazi wa Dodoma.

Sisi wakazi wa kilimanjaro hata wakiamua kuifanya Municipal ya Moshi kuwa kijiji, we don't care provided huduma za afya elimu, kilimo maendeleo ya mtu mmoja mmoja yaani zile basic needs ziko juu yaani yaani tumeweza kujikimboa na wale maadui watatu wa maendeleo yaaani Ujinga, maradhi na umaskini tuko tayari kubakia municipal as it is now
 
huez fananisha manispaa ya mosh na Dodoma even mkoa mzma wa dodoma na Kilimanjaro.
Kilimanjaro imeendelea na nimeish kote kuanzia morphological structure ya mji n.k
 
Wanapita kwenda wapi,wanafunzi xhuwa wanaisha chuoni? Huko kwingine hawakuwepo?
SHIDA UNACHANGANYA WENYEWEJI NA WAGENI WALIOKUJA KWENYE HARUSI.. MWANAFUNZ WA UDOM WALIVYO WENGI LABDA NI CHANZO CHA KUFANYA IDADI KUWA KUBWA ILA WALE WANAPITA TU
 
NILIHUDHURIA MKUTANO WA MBUNGE WA MOSHI MJINI JAFFARI MICHAEL NA ALITUELEZA MOSHI ILISHAKUBALIWA KUA JIJI NA LUKUVI AMESHARUHUSU HIVYO ILIBAKI SAINI YA RAISI TU KURUHUSU HILO ILA RAISI ALIPOKUJA MWAKA JANA KWENYE SHEREHE ZA MEI MOSI ALIWAALIKA VIONGOZI WA DINI KWENYE IKULU NDOGO HAPA MOSHI, NA KUNA BAADHI YA VIONGOZI WA DINI WALILALAMIKA KITENDO CHA MOSHI KUA JIJI KITAWAATHIRI KWA MJI KUCHUKUA MAENEO YAO ( MASHAMBA) HIVYO HAWAKUAFIKI SUALA LA MOSHI KUA JIJI.
BASI RAISI AKAWAAMBIA TU VIONGOZI WA MKOA WAKAE WAJADILIANE NA VIONGOZI WA DINI NA WAKISHAFIKIA MWAFAKA BASI WAMWAMBIE ILI AIDHINISHE MOSHI KUITWA JIJI.
 
Ieleweke kwamba Sina kinyongo kwa mji mdogo na duni kama Dodoma kupewa hadhi ya jiji

Lakini je Kauli au amri ya Kiongozi ina uhalali wa kubadili Mji mdogo kuwa Jiji ? Huo ndio utaratibu wa kupata majiji uliotumika kwa miaka yote ?

Ili mji uwe jiji unapaswa kuwa na sifa zipi , je Dodoma inazo sifa hizo ?


"WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene ameahidi kumfikishia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Magufuli ombi la kuitangaza Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji kwani inakidhi vigizo na kwamba sasa ni wakati muafaka wa kupewa hadhi hiyo.Alitoa ahadi hiyo jana wakati akizungumza na watumishi wa Manispaa ya Dodoma katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Dodoma ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku moja katika Manispaa hiyo, iliyojumuisha pia ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo."
WAZIRI SIMBACHAWENE KUOMBA JIJI LA DODOMA KWA RAIS JOHN MAGUFULI | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today
 
Huu mjadala unabidi uanzie kwenye ile kauli ya Nyerere ya kuifanya Dodoma kuwa Makao makuu ya Nchi..
 
Siku zote mimi huwa napenda sana kuitumia sheria kutatua jambo,
1. Je sheria inampa nan mamlaka ya kubadilisha mji kuwa jiji?
2. Kama sheria hyo haijafuatwa nini kifanyike kuweka mambo sawa.
Ukipitia sheria ya mipango miji, the urban planning Act, inakwambia itakuwa ni National Assembly itakayo badili mji kuwa jiji, sasa national assembly nini, hili ni bunge akiwemo raisi, je rais akifanya hayo peke yake itafaa? Sheria haijasema, hvo kavunja sheria(Ultra Vires) nini kifanyike ni kwa bunge kubatilisha maamuzi yake na kutaka hatua stahiki zifuatwe
 
Bado sana dodoma kuwa jiji nina vigezo

1.Population (inatakiwa kuwa na 800k) yake ni ya watu 2M na dodoma urban ina wat 450k ambapo density yake ni 140/km2 wakati dar ni 3000/km2
2. 80% ya wakazi wanatakiwa wawe na vipato ambavyo tunaita non-agricultural income
3. 99% ya mapato wanapaswa kujitegemea kwa kila kitu pasipo ruzuku kutoka serikalini
4. Viwanda vya processing angalau 5

ntaendelea
Kuwa makao makuu ya nchi ni kigezo tosha
 
Back
Top Bottom