Kuinstall window kwa kutumia external device kama flash disk, external hdd, au memory card.

Kuinstall window kwa kutumia external device kama flash disk, external hdd, au memory card.

IzukeneJr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
758
Reaction score
753
Msaada ndugu zangu. Yeyote mwenye ufahamu jinsi ya kuinstall window au office kwa kutumia external devices tafadhali anijuze wakuu.:A S shade::A S shade:
 
Tumia win to flash na Winrar kufanya installation ya Window na Microsoft office
 
unataka install windows gani 7 au xp. Halafu kwa office mbona sijakuelewa
 
tumia external dvd rom kama copy yako ya wndw iko ktk cd halafu unaboot kama kawaida(inategemea na ain ya kompyuta yako)kumbuka ukimaliza installation kua-ctivate wndw yako kwa ajili ya kuifanya iwe genuine ciao
 
hapo patamu sasa, keys za kuactivate unazipata wap?
 
Back
Top Bottom