Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,821
Kumekuwa na simu nyingi za Android ambazo zimekuwa zikiingia sokoni kila kukicha, Lakini wateja wengi wametokea kununua simu na kutoridhishwa na stock ROM inayokuwepo kwenye simu. Simu nyingi ambazo zenye ubora zimekuwa zikifanyiwa improvement na developers kutokana na defects zinazokuwepo kwenye simu hizo katika softwares. Kuna CUstom ROMS kibao sana ambazo zimepata watumiaji wengi kama vile CarbonRom, Cyanogenmod, Slim ROM n.k. Kuna umuhimu mkubwa wa kuweka custom ROM kama device yako inasupport. Umuhumu ni kama vile:
1. Kuongezeka kwa Performance.
Baada ya kuweka custom ROMs utagundua kwamba ufanisi wa simu unaongezeka kwa asilimia kubwa sana. Lagging nyingi zitapungua kwa kiasi kikubwa na pia baadhi ya misbehavior ulizokuwa unazionakwenye Stock Rom kutokana na stability ya CUstom ROMs nyingi.
2. Maisha ya Battery yataongezeka.
Lengo kubwa au mojawapo ya Lengo kubwa la custom ROM ni kuhakikisha wanafanya adjustments kwenye ROM kuhakikisha battery inakaa zaidi wakati mtumiaji anatumia simu yake.
3. Kuongezeka customization options.
Mfano kwa Cyanogenmod unaweza ukaweka WIdgets kibao kwenye lockscreen. Kama vile weather, music player n.k. Pia cyanogenmod wana customizations nyingine kama battery icons, buttons, advanced reboot n.k.
4. Kupata version upgrades za ROM ya simu yako ambazo hata Stock ROM hawaajatoa.
Mfano. Huawei y300 wana custom ROM ya kitkat kutoka Cyanogenmod (cm11)
5. Kuinstall Custom ROMs kunasaidia kutopata Bloatwares ambazo mara nyingi unazikuta kwenye Stock ROMs. Kama vile TV apps, Carrier Apps ambazo zinachukua space kubwa bila sababu maalum. Kwa kuwa Custom ROMs nyingi zinakuwa na zile basic apps pekee.
Kama ni expert unaweza ukaroot na kuinstall Custom ROMS kwenye simu yako ndani ya dakika chache tu. Kutokana na shughuli hii kuchukua muda mfupi tu kama umeshakuwa mzoefu wa kuinstall custom roms.
KUMBUKA:
i) Kuna baadhi ya Custom ROMS nyingi ambazo unakuta zina bugs nyingi, kwa hiyo siku zote hakikisha unaweka Stable Releases pekee.
ii) Pia kuna baadhi ya customs ambazo zinakuwa ported kutoka devices nyingine ambazo zinaweza kuwa zinakunywa sana chaji ya battery yako. Kwa hiyo ni vizuri kupataa taarifa za kutosha kabla ya kudownload na kuinstall custom ROMs kwenye simu yako.
iii) Vilevile hatua za kuroot na kuweka custom ROMs zinaweza kusababisha uharibifu wa simu ya ko kama hujui unachokifanya.
Ni hayo tu!