Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,063
- 43,492
Kinachoamua na aina ya modem na mtandao husika.Je ipi ni njema kati ya kuconnect bando toka kwenye sim kwa kutumia hotspot au wifi?
Mfano simu ya milioni 2 huwezi ifananisha na mobile wifi/hotspot ya 80,000, utakuta simu Ina modem Kali yenye uwezo wa kupitisha GB kadhaa compare na 150mbps ya router.
Vile vile mtandao unachangia, Kuna yenye speed na mingine ipo slow.