Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,510
Acha uongo huwez kuambiwa uvue ngu zote, ni za eneo linalopimwa tu.
sasa unabisha ulikuwepo? wengine kobe kweli!
Acha uongo huwez kuambiwa uvue ngu zote, ni za eneo linalopimwa tu.
kwa mwanamke ukishasema tumbo linauma your very complex, kwa kawaida lazima akuulize kama kuna uchafu unatoka ukeni, unapokojoa mkojo unauma, unaharisha au unajua vidonda vya tumbo. Yote haya yanaweza sababisha maumivu chini ya kitovu.
Wanawake almost 90% ukitoka uchafu mweupe kama maziwa yaliyo ganda watakwambia uchafu wa kawaida. Infact hii ni fungus na inasababisha sana maumivu chini ya kitovu. Dr asipochunguza kwa kuweka vidole ukeni unaweza ukanywa madawa aina zote na usipone. Kwa hiyo dada hii ni kawaida. Juzi kuna dada kaja na maumivu kama yako na akiulizwa kama kunauchafu unatoka anakataa nilipompima nilikuta uji umejaa balaa sijui hata mumewe anaenjoy vp na ile miuji.
Lakini huruhusiwi kuingiza vidole kwa binti ambaye ni bikra coz eneo la ukeni huwa tunaamini ni safi na si busara kuvuja bikra ya watu.
Wakati mwingine kuna masister do wanakuja wanaringa na dharau au warembo watu kama hawa wakija akikaa vibaya nampiga finger.
Pole kama hukuandaliwa kawaida dr anatakiwa kuseek consent kwako mpaka ukubali ukikataa harusiwi kukufanyia kipimo chochote bila ridhaa yako. Be blessed.
pole sana kwa hayo yaliyokukuta,nachujua mimi alitakiwa atumie kifaa maalumu cha kupanua uke kisha aangalie kwa macho na si hivyo alivyofanya,madaktari wengine wahuni pengine alitaka kukujua uke wako ukoje au la alikuwa na tamaa zake za mwili.Leo nlienda dispensary, nikiwa nahisi maumivu makali kwenye kipofu, nlihisi ni UTI (sijui kitaalam), baada ya kumweleza doctor tatizo langu aliniambia nivue nguo zote kisha nipande kitandani. Kilichonikera zaidi ni kwamba alivaa gloves, na kuniingizia vidole kwenye uke, kimsingi alikuwa ananiumiza, nlipo mweleza akaniambia hayo ni mambo ya kawaida huku, kisha akasema alikuwa anachek kama kuna uchafu. Naamini kuna madaktari Jf, naomba msaada ili nifaham,
1)Je ni utaratibu unaokubalika kutumia vidole kumpima mtu anyehisi maumivu ya kibofu?
2) Ni uchafu wa aina gan angeweza kuubaini kwa vidole vyake?
Naomba ushauri wa Dr.
duh,tutpigana umo hospitali..sasa bora cha mbele...kuna kile cha tigo eti wanaangalia kidole tumbo!
hii tabia mbaya sana na inakera sana haswa ugunduapo kuwa hakukuwa na ulazima wowote wa kufanyiwa hivyo washnz.....................
sana watumiao taaluma zao kufanya mambo mabaya na ya kishenzi
Even when performed by a male Gynecologist the presence of a female professional (Med Doctor au hata Nurse) is required.
Furthermore walitakiwa kumwambia about all other alternatives that exist to that examination method...
Ukisoma kuna member mmoja (he claims to be a doctor) alisema kama dada anajifanya kuringa sana, lazima 'apigwe finger'.Roullete,
MI ninavyofahamu nihivyo kwamba lazima nesi wa kike awepo hapo wakati hiyo kitu inafanyika.
Sasa tatizo hawa madokta wetu ni mabazazi, mtu anaweza kuwa anaumwa kichwa akamwambia apande kitandani avue chupi.
Ukisoma kuna member mmoja (he claims to be a doctor) alisema kama dada anajifanya kuringa sana, lazima 'apigwe finger'.
Really???
kawaida daktari wa kiume akitaka kukuangalia inabidi aite dakitari mwingine au haswa nurse wakike ili asimame hapo pembeni na hii ni kuzuia mgonjwa kumlaumu dakitari.
ila kama alikuwa anataka cheki chini ya tumbo basi ungevua nguo za chini kama gauni i guess ungeofa kupandisha then anafunga pazia unjiweka sawa then unajifunika na shuka na ukiulizwa upo tayari unasem andio na ndio anaingia na kuwa na witness
sasa kama unajisikia alikushika huko kusivyo na alikuwa mwenyewe basi nenda karipoti hii inategemea ulikuwa hospitali gani ana bosi? na kwa nini uanjisikia alikufanyai unyama tu
fata roho yako hii kitu inachanganya sana, ulizia kwa nduguzo upewe ushauri ila kama mie wewe nitampeleka kwenye sheria BIG TIME umeona huyo mwingine humu alivyoandika ushenzi wa kufanyizia wasichana ndio hao hao wanabidi wakamatwe
Pole sana ila i hope baada ya hilo jambo alikupa matibabu au kukujibu vizuri
ila ulizia au tuma mtu wa kiume aulizie habari zake ili asikujue unamtafuta then ukisikia kuna wengine wanalalamikaga absi unakesi big time
mtume mtu wa kiume aulizie hospitali kistory style na awe smart
Itabidi tufanye ka "sting operation" tunatafuta mdada tunamvalisha vizuri anaingia ndani akipandishwa kitandani bila sababu za msingi tunakamata!
Huyo ni bazazi tu!
NIna washikaji kibao nilisoma nao sasa hivi madaktari lakini sipo comfortable kabisa kwuapelekea mke wangu labda kuwe hamna jinsi maana mi nawajua watu wenyewe.