yutu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,779
- 1,227
Wanajamvi wataalam naomba mnijuze kuhusu hizi sim zetu za kisasa kama iphone 4 zina uwezo mkubwa kuingiza sauti zenye ubora kama aina nyingine za viingiza sauti kama sony voice recorder nk. hii ni kutokana na kitendea kazi changu kuharibika na upatikanaji wake ni mgumu nitashukuru kwa msaada