Kuingia Uingereza bila visa

a.k.a_Mimi

JF-Expert Member
Nov 12, 2014
292
113
Hadi miaka ya mwanzo ya miaka ya 2000's nchi ya Zimbabwe ilikuwa exempted kuingia Uingereza ambapo ilikuwa unagongewa Visa ukishafika airport ya Uingereza ila kwa sasa wanahitajika wawe na visa kutokea nchini kwao. Njia Rahisi wanatumia kuingia Uingereza bila visa ambayo hata wabongo tunaweza ni kupitia Malawi via Ireland. Kivipi!? Ukipata documents(passport) za Malawi una ruhusa ya kuingia Ireland 3months visa Free as tourist then. Unaenda Dublin au mji wowote wa Ireland republic. Then unasafiri kwa basi kwenda Ireland ya kaskazini ambayo ipo kwenye jumuia ya muungano wa kifalme United Kingdom. Baada ya hapo utakuwa tayari Uingereza simple na kusafiri within UK hauhitaji passport au visa
Visa-free travel for citizens of Malawi
 
Njia Rahisi wanatumia kuingia Uingereza bila visa ambayo hata wabongo tunaweza ni kupitia Malawi via Ireland. Kivipi!? Ukipata documents(passport) za Malawi una ruhusa ya kuingia Ireland 3months visa Free as tourist then. Unaenda Dublin au mji wowote wa Ireland republic. Then unasafiri kwa basi kwenda Ireland ya kaskazini ambayo ipo kwenye jumuia ya muungano wa kifalme United Kingdom. Baada ya hapo utakuwa tayari Uingereza simple na kusafiri within UK hauhitaji passport au visa
Visa-free travel for citizens of Malawi


...then unasota kisha unakamatwa ukiwa UK na kuwa repatriated back to Bongo na kufikia Ukonga ukanyee ndoo, angalau kwa muda mfupi.
 
Back
Top Bottom