Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,924
- 61,707
- Thread starter
- #21
ha ha ha ha ha inabidi wahamasishweBut still hawataki kuweka bidii katika pendo lao
ha ha ha ha ha inabidi wahamasishweBut still hawataki kuweka bidii katika pendo lao
ha ha ha ha ha inabidi wahamasishwe
ha ha ha ha hata wewe unaweza kumshika mkono wa kwakoEndelea na wengine tutaponea humu
Wazunguke hata nyuma ya nyumba wanywe majiMkuu
Kuna watu leo tangu wameamka hawajaingiza chochote mdomoni.
Unadhani wataweza vipi kuimarisha mahusiano yao ?
Mtoe mzee out mkuuHakika
ha ha ha ha hata wewe unaweza kumshika mkono wa kwako
ha ha ha ha utaleta mrejeshoNgoja nichukue notes basi
badilisha mazingiraNa tunaoishi kwa baridi ngoja tukaote moto wote with slow jams