Kuku kala mchele jioni kaliwa n wali!mkuu umenena sawa ila unasahau kuwa ulimwengu wa sasa si wa kuangalia unataka nini,unaangalia unatoa nini,sahara magharibi wanakitu gani cha kuipa TZ ya sasa kuliko hao Morocco,hilo moja ,mbili Kumbuka jana imesainiwa mikataba aidi ya 22 ya ushirikiano katika sekta za kijamii,kiuchumi na kitamaduni pia na mengi imejikita katika suala zima la diplomasia ya kiuchumi sasa huoni hapo bado JPM anaendeleza harakati zake za ndoto ya viwanda?
Tisa kumi,huo uwanja ukijengwa huko Dodoma si wamorocco watao kuja kufanya kazi bali ni ndugu zetu watanzania wenye ujuzi huo wataajiriwa hivyo kupunguza ombwe la ajira kwa kiasi fulani
Mkuu.. ati kama kiwanja !1 mbona tuna viwanja hadi tunaving'owa viti na kuvunja vyoni.. na kama nyuma za ibada mbona nyumba Miskiti ipo mingi?? Kwa kila mkataba mmoja tutahitaji wakalimani (translators) zaidi ya wawili kuCompyl !!!Ha
hahaaaaa hahaaaa kazi kweli kweli
una maana gani katika mada husika hapo juu?Kuku kala mchele jioni kaliwa n wali!
Mkuu uko sahihi in some extentmkuu umenena sawa ila unasahau kuwa ulimwengu wa sasa si wa kuangalia unataka nini,unaangalia unatoa nini,sahara magharibi wanakitu gani cha kuipa TZ ya sasa kuliko hao Morocco,hilo moja ,mbili Kumbuka jana imesainiwa mikataba aidi ya 22 ya ushirikiano katika sekta za kijamii,kiuchumi na kitamaduni pia na mengi imejikita katika suala zima la diplomasia ya kiuchumi sasa huoni hapo bado JPM anaendeleza harakati zake za ndoto ya viwanda?
Tisa kumi,huo uwanja ukijengwa huko Dodoma si wamorocco watao kuja kufanya kazi bali ni ndugu zetu watanzania wenye ujuzi huo wataajiriwa hivyo kupunguza ombwe la ajira kwa kiasi fulani
Siku hizi ukiwa chadema 'ulofa na upumbavu' ndio sifa kuu,Chandimu mliandika humu umuhimu wa diplomasia ya kushirikiana na mataifa ya nje...mkamlaumu JPM hasafiri....sasa ameshawishi ushirikiano na mataifa mnakuja na nyimbo,ujinga ujinga....Huyu aliyefubaza akili ni nani?...kama ni Mbowe au Lowassa mimi ntawasaidia muondokane na minyororo ya ujinga.
hahahahaaaa uwiiiiVan persie ni mchezaji mpira maarufu sana duniani ameoa morocco mwanamke anaitwa Bouchra. Morocco kuna wadada wazuri pia kwa sisi waoaji tunaweza kutumia fursa hii kupata ndoa(kijamii tunafaidika + msikiti + uwanja wa mpira). Pia kupitia mikataba na morocco tutafaidika kiuchumi na kisiasa.
halafu kufanya shughuli za kusaidia dini moja isambae sio kazi ya sirikaliMkuu.. ati kama kiwanja !1 mbona tuna viwanja hadi tunaving'owa viti na kuvunja vyoni.. na kama nyuma za ibada mbona nyumba Miskiti ipo mingi?? Kwa kila mkataba mmoja tutahitaji wakalimani (translators) zaidi ya wawili kuCompyl !!!
Tanzania ndio kukuKuku kala mchele jioni kaliwa n wali!