Kuijadili CCM na matokeo ya Urais Zanzibar ni kuvunja katiba ya nchi

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,271
1,119
Kuendelea kuijadili CCM na matokeo yaliyompa Dr. Shein kuwa Raisi wa Zanzibar ni kuvunja katiba ya nchi. CCM walishakiuka misingi ya katiba ya nchi hii kwa kitendo kilichofanywa na Jecha. CCM walikibariki na hivyo uchaguzi ukarudiwa hiyo jana na kumtawaza mgombea wao mshindi.

CUF na UKAWA hawakushiriki wakiamini mgombea wao Maalim Seif alishinda uchaguzi wa 2015. Tafsiri ya haraka ni kwamba CUF hawakushiriki uchaguzi ulioitwa wa marudio wakiamini haki haikutendendeka. Na mimi naamini hivyo. Demokrasia ilibakwa na kuwekwa fungate. Lakini msingi wa hoja ni uvunjaji wa katiba na sheria ya uchaguzi wa nchi. Hivyo CUF hawakutaka kushiriki dhambi hiyo. Kiungwana kabisa wakajiweka pembeni kumpisha mwenye timu, kiwanja, filimbi, washangiliaji na mtoa kombe. Na amejitangaza. Ni Rais wa Zanzibar!

Sasa kuwaona watu wakiendelea kujadili uhuni huo mnakuwa washiriki na washirika wa kuvunja katiba ya nchi kama walivyofanya CCM. Wanachokivuna CCM ni kile walichokipanda cha kuvunja katiba na sheria ya uchaguzi. Wanavuna maamuzi ya Jecha. Wanavuna ukimya, upole ustaarabu na heshima kubwa iliyooneshwa na Maalim Seif. Wanavuna ukimya, upole na uvumilivu wa wazanzibari. Wanavuna busara za viongozi wa CUF na UKAWA.

Wote hao kama wangeamua wadai haki yao kwa utaratibu ule ule wa kuvunja katiba ya nchi na sheria za uchaguzi basi leo hii fukwe za bahari zingekuwa zimejaa miili ya watu. Miili ya kina mama, watoto, wazee huku mingi ikiwa ya vijana wenzangu ingekuwa ikielea kama magugu maji baharini. Tungepata kusikia idadi kubwa ya waandishi wa Habari waliotekwa na kupotea kabisa. Tungesikia matamko makali kutoka USA, EU, ASIA na machache kutoka EAC na SADC. Maana hawa wa mwisho ni washirika pia wa ubakaji wa demokrasia.

Sasa basi, tuwaache CCM wavune matunda yao kwa kumtawaza mwali wao. Tusiwe sehemu ya wavunja katiba. Tusitarajie fair play kutoka kwao. Tusitarajie huruma ya kupewa makamu wa kwanza wa Rais (M1R). Bali tuwapongeze wote walioisaidia Zanzibar kuwa na utulivu( sio amani) tunao ushuhudia sasa. Jeshi la polisi limechangia kwa kiasi flani utulivu huo. Maana nina hakika hakuna Jeshi liloweza nguvu ya umma pale umma unaposema IMETOSHA.

Waacheni CCM wale uzao na matunda waliyopanda. Msiwe sehemu ya matunda yao. Kwani kwa kufanya hivyo mnabariki uwovu na kuwa sehemu ya waovu. Hivyo kuwajadili tunakuwa sehemu ya wavunja katiba. Asanteni.

Na Goodluck Mshana
 
Acha kutisha watu wewe punguani mkubwa, unafikiri Watz ni wajinga kiasi hicho cha kudanganywa na matakataka kirahisi namna hivyo?
Mlivyokuwa na uchu wa madaraka so mngeshalifanya hilo?

fvck you!
 
Acha kutisha watu wewe punguani mkubwa, unafikiri Watz ni wajinga kiasi hicho cha kudanganywa na matakataka kirahisi namna hivyo?
Mlivyokuwa na uchu WA madaraka so mngeshalifanya Hilo?
Kwani wewe umetishika Mkuu?! Mimi sio punguani. Nina akili timamu na naweza kuzaa na mama yako bila kuwekewa maji ya uchungu.
 
La kawaida sana mama yangu ni mwanamke hivyo anaweza kushika mimba na yoyote mwenye rutuba ni biolojia sasa sijui cha ajabu hapo nini, lkn hakuondoi upunguani wako wewe takataka!
 
Acha kutisha watu wewe punguani mkubwa, unafikiri Watz ni wajinga kiasi hicho cha kudanganywa na matakataka kirahisi namna hivyo?
Mlivyokuwa na uchu WA madaraka so mngeshalifanya Hilo?
Mkuu
Haya matamshi uliyotumia ni ya mtu asiyekuwa na ustaarabu. Ungejibu hoja yake badala ya kumwaga pumba zako humu.
 
Acha kutisha watu wewe punguani mkubwa, unafikiri Watz ni wajinga kiasi hicho cha kudanganywa na matakataka kirahisi namna hivyo?
Mlivyokuwa na uchu WA madaraka so mngeshalifanya Hilo?
Mwenzio kaweka hoja tena ambazo zinaonesha kapevuka wew unakuja na matusi?eboo nyie vijana hivi mnaakili kweli tena timamuuuu?astakafrillah
 
Acha kutisha watu wewe punguani mkubwa, unafikiri Watz ni wajinga kiasi hicho cha kudanganywa na matakataka kirahisi namna hivyo?
Mlivyokuwa na uchu WA madaraka so mngeshalifanya Hilo?
Wewe maradhi uliyonayo hayana tiba. Yaani umeoza akili ni harufu ya funza tu. Unafanya masuala ya kitaifa kuwa ya kijiwe cha wavuta bangi,

Mwenzio Shein kiwewe anatafakari cha kufanya maana mahesabu hayaendani na katiba wewe unamwaga harufu ya funza.
 
Huyu Barbarosa kamwaga pumba hizo kupoza makali ya mada na kukwepesha muelekeo wa mjadala. Sijui huwa wanalipwa maana ikija mada imesimama watapenyeza kinyesi. Ingawaje hii ni kawaida ya humu JF.
Mtu akiona hana hoja ya kupinga na inamlazimu kupinga basi basi kinyesi ndio tiba mbadala.
Back to mada. Uchaguzi wa safari hii utabaki mioyoni mwa Wasanzibari vizazi na vizazi. Anayejiona kashinda historia itamsuta kama sio yeye basi chama chake huko mbeleni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom