Kuifunga Blackberry iliyopotea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuifunga Blackberry iliyopotea

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ngoshwe, Jul 4, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wakuu, nimepoteza handset yangu ya Blackberry, ipo namna yoyote ya kuitambua inapotumika au kuifunga kabisa ili jamaa aliyeipata asiwe na manufaa nayo?. Providers wangu wanasema wao wananaweza kufunga sim card tu na sio handset.

  Baada ya maumivu nimegundua hii site but for future protection:


  Fight the mobile crime!

  • MyPhoneSafe.com register is a useful tool helping you to protect your mobile phone from being stolen and sold and to spot the origin of a phone by its unique identification number (called IMEI).
  • If your phone is stolen you just mark it as stolen so it will immediately become blacklisted.
  • Anybody in the world can easily verify here whether a phone has been reported stolen. This is particularly important for a potential purchaser. Registering your own phone in the myPhoneSafe.com database increases its chance to be found.
  • Click "Info" for more information.
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="class: BckLight, width: 30px, align: center"][​IMG]
  [/TD]
  [TD]Search
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Huyo provider au aliyekujibu hajui provide anawezo wa kuweka IMEI no ya simu yeyote kwenye black/block list. Ina maana kama provider wangekuwa na ushirikiano na wanatumiahiyo facility basi simu za wizi zisingeweza kutumika bongo. Ingawa ipo mbinu ya kubadilsha IMEI lakini watu wengi waangenaswa. tatizo hao customer service hawana even small technical knowledge ya GSM inavyofanya kazi

  Pole sana mkuu andaa bajeti ya kununua nyingine. Otherwise kama una muda komaa na TCRA,polisi na provider ili kuwe na uwajibikaji.
   
 3. P

  Paul S.S Verified User

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,265
  Trophy Points: 280
  Usisumbuke mkuu, mimi niliibiwa Blackberry 2 kwa mpigo nilivyokwenda voda nilitamani nimtandike makofi yule dada wa customer care, majibu yao ni kwamba hakuna hata mtu mwenye robo ya idea na IT, ni ajira za kupeana tu.
  Jipange ununue kinokia cha tochi kitakusaidia zaidi kwa kipindi hiki cha mgao wa umeme. ila next time kumbuka kuiandika IMEI ya simu yako utakuwa na uwezo wa kuiblock isitumike tena Tanzania, labda ipelekwe nchi nyingine.
   
 5. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Kama ingekuwa ni iphone nigekusaidia lakini blackberry dah pole sana.
   
Loading...