Nchi Kavu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 4,289 Reaction score 2,472 Aug 18, 2019 #1 Habari wakuu. Hili toleo la iphone kwa sasa ni kama simu ya kitochi japo kwa kuitazama ni kasimu fulani hivi kazuri. Tatizo hakapokei apps kama whatsapp na zingine. Najua kuna maguru wa kufanikisha hili humu jukwaani. Tupeane maarifa tafadhali
Habari wakuu. Hili toleo la iphone kwa sasa ni kama simu ya kitochi japo kwa kuitazama ni kasimu fulani hivi kazuri. Tatizo hakapokei apps kama whatsapp na zingine. Najua kuna maguru wa kufanikisha hili humu jukwaani. Tupeane maarifa tafadhali
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,351 Reaction score 12,705 Aug 18, 2019 #2 Mkuu hatujakuelewa
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Aug 18, 2019 #3 Nilikutana na mtu ana hili tatizo pia, kwanini usijaribu kujailbreak kwanza then ujaribu kuweka apps za zamani za social network husika?
Nilikutana na mtu ana hili tatizo pia, kwanini usijaribu kujailbreak kwanza then ujaribu kuweka apps za zamani za social network husika?