hee heee sipati picha. unajikuta uko flat utapigaje ukunga
Hiv kwa dunia hii bado kuna hii mambo??
Kuna habari nimezisikia
,watu haswa wanawake huweza tumia ushirikina na kumpotezea kabisa
mwanaume nguvu ya kugegeda ,akabaki mwanaume suruali. Kwa nia ya
kumkomoa asipowakubali au kuwaacha,au kumzuia asitembee nje,lakini
akirudi kwake ngoma inatinga mzigoni. Hii ina ukweli gani?
hii dawa noma
Uncle angu ilimtokea dadex yani ni shiida...alikua na mahusiano na mbint wa tanga ile kwenda kumtambulisha hom wakampiga stop..Ile kuachana nae kila akitongoza dushe aisimami katongoza kama ke zaid ya 10...ndo akaanza kumtafuta bint wa kitanga na hatimae wakaoana ila kuhusu kuchepuka hajui maana dushe nje haisimami ila kwa mtanga inasimama...huwa namuonea huruma sana maskinii
Kuna habari nimezisikia ,watu haswa wanawake huweza tumia ushirikina na kumpotezea kabisa mwanaume nguvu ya kugegeda ,akabaki mwanaume suruali. Kwa nia ya kumkomoa asipowakubali au kuwaacha,au kumzuia asitembee nje,lakini akirudi kwake ngoma inatinga mzigoni. Hii ina ukweli gani?