Kui import contena la tiles

Pung'o boy

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
685
305
Naomba kujuzwa taratibu za kuingiza contena la tiles charges ziko vip import duties,tbs na kodi zingite zinakatwa vipi
 
Mkuu nadhani tiles zinapishana bei. Ni sawa ukianza kuuliza import duty za gari, bila kutaja aina ya gari na specifications zake pamoja na CIF yake.
 
Mkuu nadhani tiles zinapishana bei. Ni sawa ukianza kuuliza import duty za gari, bila kutaja aina ya gari na specifications zake pamoja na CIF yake.
Shukrani sana tayari nilishapata nilienda tra gharama ni kama 50% ya FOB price maana ilikua ni kazi ya uagent mzigo ulikua unakuja free hadi bandarini.
 
Back
Top Bottom