Kuhusu x boyfriend

Kuhusu x boyfriend

iryn alphonce

Member
Joined
May 15, 2014
Posts
49
Reaction score
8
Hivi kwanini x boyfriend mnapoachana lazma baadae akufate with many sorries, huwa sijuagi kwanini huwa hivyo
 
unao xboylovers wangapi? Je x manlovers hawakufuati?
 
Hua akufuati wewe kama wewe! Ila huwa anafata papuchi si unajua mavi ya kale hayanukii
 
'u only know you love her when u let her go' ndo inaapply,..hata akienda we tulia atarudi tu mwenyewe esp ukiwa kimyaa
 
Pole aisee utakua na jini linatekenya hao m X linaitwa "CHAPA TENA ILALE"
 
Hivi kwanini x boyfriend mnapoachana lazma baadae akufate with many sorries, huwa sijuagi kwanini huwa hivyo

thamani ya kitu chochote huonekana pale kinapokuwa hakipo mikononi mwako,

jaribu kumrudia tena uone, majanga yale yale yanajirudia... what a scenerio!

the value of money is seen when it is scarce!!!.. similarly to the love of loved one, it is seen when he/she is gone..
 
Hua akufuati wewe kama wewe! Ila huwa anafata papuchi si unajua mavi ya kale hayanukii

Wengine kumpima alivo mbulula ili atendwe tena kama hakuridhika na maumivu ya mwanzo
 
Kum miss mtu au Kumwambia sorry haimaanishi..ndo kurudi jumla...sometimes ni kurudisha peace tu between you
 
Back
Top Bottom