Nenda kamuulizie Mwamunyange pale Ngome upanga, Bavicha mkubwa wewe, mmeathirika kisaikolojia sana - Yaani hampendi kabisa kuona mema yanafanyika ndani ya taifa hili.Kwanza nawasalimu hapa jukwaani
Niende kwenye mada moja kwa moja,
Kwa wale wenzangu wenye mawazo kama yangu naona mnisaidie au wenye uelewa zaidi yangu
Pale Uwanjani uliimbwa wimbo maalum wa uhuru wimbo huu umeimbwa na kwaya mchanganyiko ya vyombo vyetu vya usalama, Jeshi, magereza, Polisi
Lakini kwaya hii maneno waliyokuwa wanaimba hayana tofauti kabisa na kwaya ya ccm hivi vyombo vyetu vya usalama ni vyombo huru au ni vyombo vinavyofungamana na Chama fulani?
Ikiwa mawazo ya vyombo vyetu vya usalama yako kama hao waimba kwaya wao basi nchi hii ni ya Chama kimoja,
Binafsi nimeshangaa na nitazidi kushangaa
Usijali mkuu akiingia Mzee wa kuangalia kila pande na yy ataimbiwaKwanza nawasalimu hapa jukwaani
Niende kwenye mada moja kwa moja,
Kwa wale wenzangu wenye mawazo kama yangu naona mnisaidie au wenye uelewa zaidi yangu
Pale Uwanjani uliimbwa wimbo maalum wa uhuru wimbo huu umeimbwa na kwaya mchanganyiko ya vyombo vyetu vya usalama, Jeshi, magereza, Polisi
Lakini kwaya hii maneno waliyokuwa wanaimba hayana tofauti kabisa na kwaya ya ccm hivi vyombo vyetu vya usalama ni vyombo huru au ni vyombo vinavyofungamana na Chama fulani?
Ikiwa mawazo ya vyombo vyetu vya usalama yako kama hao waimba kwaya wao basi nchi hii ni ya Chama kimoja,
Binafsi nimeshangaa na nitazidi kushangaa
We boya kweli! Kwani serikali ya awamu ya tano inatekeleza ilani ya chama gani?Kwanza nawasalimu hapa jukwaani
Niende kwenye mada moja kwa moja,
Kwa wale wenzangu wenye mawazo kama yangu naona mnisaidie au wenye uelewa zaidi yangu
Pale Uwanjani uliimbwa wimbo maalum wa uhuru wimbo huu umeimbwa na kwaya mchanganyiko ya vyombo vyetu vya usalama, Jeshi, magereza, Polisi
Lakini kwaya hii maneno waliyokuwa wanaimba hayana tofauti kabisa na kwaya ya ccm hivi vyombo vyetu vya usalama ni vyombo huru au ni vyombo vinavyofungamana na Chama fulani?
Ikiwa mawazo ya vyombo vyetu vya usalama yako kama hao waimba kwaya wao basi nchi hii ni ya Chama kimoja,
Binafsi nimeshangaa na nitazidi kushangaa
Inatekeleza ilani ya chama cha Mr. Lubuva.We boya kweli! Kwani serikali ya awamu ya tano inatekeleza ilani ya chama gani?