Kuhusu wimbo ulioimbwa na vyombo vya usalama pale Uwanjani

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,542
7,449
Kwanza nawasalimu hapa jukwaani

Niende kwenye mada moja kwa moja,
Kwa wale wenzangu wenye mawazo kama yangu naona mnisaidie au wenye uelewa zaidi yangu
Pale Uwanjani uliimbwa wimbo maalum wa uhuru wimbo huu umeimbwa na kwaya mchanganyiko ya vyombo vyetu vya usalama, Jeshi, magereza, Polisi
Lakini kwaya hii maneno waliyokuwa wanaimba hayana tofauti kabisa na kwaya ya ccm hivi vyombo vyetu vya usalama ni vyombo huru au ni vyombo vinavyofungamana na Chama fulani?
Ikiwa mawazo ya vyombo vyetu vya usalama yako kama hao waimba kwaya wao basi nchi hii ni ya Chama kimoja,
Binafsi nimeshangaa na nitazidi kushangaa
 
Nenda kamuulizie Mwamunyange pale Ngome upanga, Bavicha mkubwa wewe, mmeathirika kisaikolojia sana - Yaani hampendi kabisa kuona mema yanafanyika ndani ya taifa hili.

- Leo nilikuwa na bavicha tunaagalia maadhimisho, ni mtu wa kukososoa tuuuuuuuuuuuuuuu, utafikiri amewahi kwenda hata mgambo, kulalamika weeeeeeeeeeee.
 
Kwanza nawasalimu hapa jukwaani

Niende kwenye mada moja kwa moja,
Kwa wale wenzangu wenye mawazo kama yangu naona mnisaidie au wenye uelewa zaidi yangu
Pale Uwanjani uliimbwa wimbo maalum wa uhuru wimbo huu umeimbwa na kwaya mchanganyiko ya vyombo vyetu vya usalama, Jeshi, magereza, Polisi
Lakini kwaya hii maneno waliyokuwa wanaimba hayana tofauti kabisa na kwaya ya ccm hivi vyombo vyetu vya usalama ni vyombo huru au ni vyombo vinavyofungamana na Chama fulani?
Ikiwa mawazo ya vyombo vyetu vya usalama yako kama hao waimba kwaya wao basi nchi hii ni ya Chama kimoja,
Binafsi nimeshangaa na nitazidi kushangaa
Usijali mkuu akiingia Mzee wa kuangalia kila pande na yy ataimbiwa
 
Ondoa shaka akiingia lowasa ikulu na yeye atatungiwa wimbo wake unaoendana na kwaya ya chadema
 
Hata kama nchi ingekuwa inaongozwa na chadema basi wangeimba kichadema chadema wapo kwa ajili ya kulinda serikali halali ambayo inaongozwa na ccm cha ajabu nn sasa hapo usiwe na akili mbili
 
Kwani serikali inaongozwa na chama kipi? Halafu kwani kwenye ule wimbo walitaja chama? Ungetulia tu mkuu usubiri chama kingine kitakaposhika madaraka ndipo utajua wale maaskari walikuwa wanaimba nini. Mbona mambo yanapoharibika hamsemi hii nchi haina chama hivyo chanzo cha uharibifu huu ni vyama vyote bali mnasema CCM ndio imeharibu eti kisa tu ndio yenye serikali. Hata kwenye haya msikimbile kusema hayana chama, bali mseme fulani ndio wenye serikali.
 
Kwanza nawasalimu hapa jukwaani

Niende kwenye mada moja kwa moja,
Kwa wale wenzangu wenye mawazo kama yangu naona mnisaidie au wenye uelewa zaidi yangu
Pale Uwanjani uliimbwa wimbo maalum wa uhuru wimbo huu umeimbwa na kwaya mchanganyiko ya vyombo vyetu vya usalama, Jeshi, magereza, Polisi
Lakini kwaya hii maneno waliyokuwa wanaimba hayana tofauti kabisa na kwaya ya ccm hivi vyombo vyetu vya usalama ni vyombo huru au ni vyombo vinavyofungamana na Chama fulani?
Ikiwa mawazo ya vyombo vyetu vya usalama yako kama hao waimba kwaya wao basi nchi hii ni ya Chama kimoja,
Binafsi nimeshangaa na nitazidi kushangaa
We boya kweli! Kwani serikali ya awamu ya tano inatekeleza ilani ya chama gani?
 
CCM msiogope kusema kuwa hata hao ni wanachama tena hai kabisaaa mpaka atokee mwingine asokuwa wa kwao ndipo tutakiona cha mtema kuni.
Kama sikosei aliwahi kusema mnadhim mmoja akasema; Mkileta fyoko nchi tumeichukua. Akapewa ubalozi. Hapo ni watu tu walikuwa wananong'ona kwa habari za power tiller zilizoletwa kutoka ng'ambo ya bahari ambazo zilikuwa haziwezi hata kulima mchangani. Watu tujaribu kukumbuka.
Tukubaliane tu kuwa hao nao ni ccm dam dam ndo maana wengi wanachaguliwa kuwa wakuu wa mikoa nk. Huo si ubaya wowote ndo maana wanaimba wazi wazi
 
Duh! Watanzania kiboko! Kwamba kuna tune za CCM, chadema, CUF! Sasa nawaza, sijui tune za Jahazi Asilia zikoje!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom