Mr Hero
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 5,542
- 7,450
Kwanza nawasalimu hapa jukwaani
Niende kwenye mada moja kwa moja,
Kwa wale wenzangu wenye mawazo kama yangu naona mnisaidie au wenye uelewa zaidi yangu
Pale Uwanjani uliimbwa wimbo maalum wa uhuru wimbo huu umeimbwa na kwaya mchanganyiko ya vyombo vyetu vya usalama, Jeshi, magereza, Polisi
Lakini kwaya hii maneno waliyokuwa wanaimba hayana tofauti kabisa na kwaya ya ccm hivi vyombo vyetu vya usalama ni vyombo huru au ni vyombo vinavyofungamana na Chama fulani?
Ikiwa mawazo ya vyombo vyetu vya usalama yako kama hao waimba kwaya wao basi nchi hii ni ya Chama kimoja,
Binafsi nimeshangaa na nitazidi kushangaa