Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,177
- 3,316
Hata wangeongea kiswahili tupu wanaweka subtitles mambo yanaenda.Umeongea kweli ila hapo kwenye lugha nadhani wanataka wateke pia soko la nje ya Tanzania, ila wanapokosea ni kuiga flows na kuzilazimishia kwenye uhalisia. Ila wanajitahidi kwa kibongobongo
βββ
Hata wangeongea kiswahili tupu wanaweka subtitles mambo yanaenda.
Hiyo kuiga flow ndo inafanya mpaka mtu unaona aibu hata ku recommend kwa marafiki wa nje.
Umeona eeh. Yaani mtu wa nje akiiangalia atajiuliza hivi wa tz ni afro american wannabes?Umeongea point, maana kuna series nyingi tu za kihispania zimehit worldwide...hyo inaonyesha kuwa ni dhahiri lugha sio kikwazo.
Umeona eeh. Yaani mtu wa nje akiiangalia atajiuliza hivi wa tz ni afro american wannabes?
Haya maajabu yapo Tanzania tu hakuna nchi wanatengeneza movie na kulazimisha wawe na accents ambazo sio zao.
Tubadilike haraka sana kwasababu tumeshaachwa nyuma mno.Sure Mkuu inabidi tubadlike kwa kweli
Tubadilike haraka sana kwasababu tumeshaachwa nyuma mno.
Siwezi kusema ni mbaya moja kwa moja ukiiangalia ndo utanielewa.Kwa kasoro ulizotaja huwezi sema ni nzuri
Sema Tu ina kasoro nyingi
Halafu aeries kwenye insta page
Inaingizaje hela? Anyone?
Kwa kasoro ulizotaja huwezi sema ni nzuri
Sema Tu ina kasoro nyingi
Halafu aeries kwenye insta page
Inaingizaje hela? Anyone?
Hopefully that's what they're doing.Wakati mwingine ukitaka kum-convince investor/network unawaonyesha kwa vitendo jinsi ambavyo kazi yako itauza. And the best way to do that is to do a test run, see how people will receive your product then move it to a paying network. I assume that's what they are doing.
Bora umenisaidia kuelezea vizuri kwenye sound.Wordsworth I can tell your criticism is meant to build these guys up....kudos to that.ππ maana watu wengine wamegoma kabisa kumove on from "the jinni looking both sides before crossing the road" era.
Here are my 2 cents......
#1 . You are right about the ADR thingy. Kibongo bongo bado sana kwenye swala la ADR. Watu hawajui kuhusu foley wala ambiance. Wanadhani ukisharekodi sauti za maongezi ikawa clear basi kazi imeisha. Binafsi sijui Max anafeli vipi wakati amekuwa aki-deal na sound recording kwa muda mrefu na ana studio na producer at his disposal. They can do muuuuuuuch better in that department.
#2 . Lugha.
Kwenye hili napingana na wewe kwasababu kuu tatu... 1) Imekuwa kawaida kwa Watanzania wa middle - high class kwenye mazingira yetu kuzungumza kiingereza kwenye mazungumzo yao ya kawaida kwa asilimia ya kuridhisha. 2) Kwa asilimia kubwa wengi wetu tumekuwa wahanga wa kuchanganya lugha mtaani na hata kwenye mazingira ya kazi. 3) Accents nazo zime-improve kutokana na mchanganyiko/mazingira na TV. Ile mambo ya kumtambua mtu haraka kwa accent yake anapoongea Kiingereza yamepungua kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na miaka ya nyuma. Temba/Max ni mmoja ya watu wasio na ile accent ya kibongo bongo....so kwa wewe ku-judge character zao kwa kuongea kiingereza kisichosound kama kinazungumzwa na mswahili sio fair.
#3 . Dialogue kukosa uhalisia.
Hii haitokani na muandishi kujua ama kutokujua lugha vizuri. It's lack of creativity more than anything else. Kwanini nasema hivyo??? Kwasababu dialogue anazoandika mwandishi zinaweza kugeuzwa geuzwa na msanii chini ya uangalizi wa Director mpaka i-sound natural to that particular person. Yani kitu kinaweza kusound vizuri kwenye kichwa cha mwandishi all the way to the paper ila mtu akiongea out loud ndo unaona it sounds a bit weird.
#4 . Sounding stiff & Robot-like.
You are absolutely right. Wanatakiwa wa-slow down a little, take some time and actually feel what they are saying badala ya kukariri tu na kusema mistari yao.
All in all wakiendelea kujifunza na kubadilika kutokana na makosa they'll make a huge difference in the industry.
Max level zake ashirikiane Tu na multi choice.
Wamuunge kwenye Portal amtafute waandishi hata nje ya Tanzania..
Max anaweza Sana kutafuta sponsors..why ashindwe hili?
Yeahh..to some extent ππBora umenisaidia kuelezea vizuri kwenye sound.
Inaonekana unaielewa film na television industry vizuri.
Hapo kwenye lugha nimekuelewa ila bado nakazia wanashindwa kuexecute vizuri. Mbona Vanesa Mdee na yeye hana accent ya kitz lakini akiongea yupo natural hayupo fake? Mimi mwenyewe hapa sina kabisa accent ya kitz na wala sijawahi kuwa nayo na ninakuelewa unapo sema kuna watu wanaongea kama Wamarekani. Lakini huyo Max/Temba mbona anaongea kama mbongo ambaye ana lazimisha kuwa na Afro American accent? Na siyo yeye tu ni karibia waigizaji wote pale wanalazimishia na inakuwa cringy.
Ndio maana mi nikaona nibora wangeacha kabisa cause it sounds so fake.
Inaonekana wewe ni mdau WA hii industryBora umenisaidia kuelezea vizuri kwenye sound.
Inaonekana unaielewa film na television industry vizuri.
Hapo kwenye lugha nimekuelewa ila bado nakazia wanashindwa kuexecute vizuri. Mbona Vanesa Mdee na yeye hana accent ya kitz lakini akiongea yupo natural hayupo fake? Mimi mwenyewe hapa sina kabisa accent ya kitz na wala sijawahi kuwa nayo na ninakuelewa unapo sema kuna watu wanaongea kama Wamarekani. Lakini huyo Max/Temba mbona anaongea kama mbongo ambaye ana lazimisha kuwa na Afro American accent? Na siyo yeye tu ni karibia waigizaji wote pale wanalazimishia na inakuwa cringy.
Ndio maana mi nikaona nibora wangeacha kabisa cause it sounds so fake.