kuhusu wasomi wetu

kuhusu wasomi wetu

MWAMFUPE

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
943
Reaction score
1,137
mara nyingi nimekuwa nikiona au kusikia watu wanasoma nje ya nchi katika fani mbalimbali mfano udaktari, uhandisi, sheria nk. Swali langu ni kwa hawa wanaosomea sheria huwa wanasoma sheria za nchi gani mf. mtu anayesona ujerumani alaf baadae anarudi nyumbani kufanya kazi au huwa wanafanyaje sababu ktk vyuo huwa kuna watu kutoka sehemu tofauti.
 
Mkuu kwa hapa bongo siyo tatizo la kuhitimu masomo ni kama usanii lakini ukibahatika kufika u s a na uk na canada basi ujitahidi upate shahada hata kamani fike basi bongo umeula na umewinni maisha ni safi
 
Back
Top Bottom