Kuhusu walio chaguliwa nafas za kazi TRA hivi karibuni

Perry HUYU Latoya ANAKUFANYA BWEGE HUYU AHAHA

HALAFU Latoya NIKUAMBIE UKWELI TU, UNA ROHO MBAYA. KUINGIA KWENYE SYSTEM BILA KUSAIDIWA HAIMAANISH WEWE USISAIDIE WENGNE

HIYO NI ROHO MBAYA NA HUYO JAMAA ANA HAKI YA KUKUBLOCK.

MIMI KUNA BINTI NIMEKULIA NAYE KITAA TANGU PS, YUPO KWENYE NAFAS NZURI. NILIVYOANZA MICHAKATO YA AJIRA NIKAMUOMBA ANISAIDIE, AKANIJBU ETI NIMWOMBE TU MUNGU NITAPATA KWA BIDII ZANGU

MNGESE SANA YULE, NIKAMBLOCK NIKAENDELEA NA LIFE LANGU.. IKAWA NIKIKUTANA NAYE KWENYE VIEW NIKAWA NAFANYA
KAMA SMJUI

Achen roho mbaya dada zetu, wewe inaelekea moyon ulikuwa unasema 'si unajfanya umetoka special skuli, pambana'

We dada wewe, Mungu anakuona
 
Ina maana wote hamjagundua huyu mleta maada ni mastermind tu.Anasema mshikaji wake aliitwa oral akapiga fresh akamjulisha kisha kwenye written hakutoboa.

Inawezekana vp mtu achomoke oral halafu achemke written? Yaani ni sawa na kusema mtu apige fresh paper ya form six halafu aje kukwama form 4
We nawe nimexhemka,written alifaul oral ndo aka bumba,relax kwan nimeua heeh wabongo bana kuna taasisi kibao za kufanya kazi,mbona hamgombei local govt,mxiuuu walewale wenye roho za udokoz na upigaj
 
mimi nimeshakubaliana na matokeo na nimefunga mjadala wa mambo ya tra toka ile juzi nilivyoamua kuwaibukia ofisini kwao kujua mbivu na mbichi,sasa hivi nasubiri salary yangu tu huku nilipo itoke nikajidunge masavanna.
Mkuu, unajidungia wapi tuungane..maana na mimi ninamachungu
 
We nawe nimexhemka,written alifaul oral ndo aka bumba,relax kwan nimeua heeh wabongo bana kuna taasisi kibao za kufanya kazi,mbona hamgombei local govt,mxiuuu walewale wenye roho za udokoz na upigaj
tutaamini vp ww hudokoi au hupigi?
 
Habari wanabodi.
Naomba nideclare interest,nimekuwa nikifatatilia toka kutangazwa kwa nafasi za kazi TRA,interview,majibu hadi kupatikana kwa walobahatika.

Kuna classmate wangu nilisoma naye a level special school flan hapa Tanzania,yeye akiwa boys mie nikiwa girls.

Miaka imeenda maisha yamebadilika and all that,mimi baada ya kugraduate tu niliajiriwa private firm then after a year nikaajiriwa serikalini,ambapo nipo hadi sasa.

Bahati nzur au mbaya yeye hakubahatika kuajiriwa toka tuna graduate kwakuwa tulimaliza mwaka mmoja varsity ila vyuo tofauti.

Walipotangaza nafasi akanitafuta akanambia nimpigie pande apate kwa wakubwa,nikamwambia hata bila wakubwa If you good utapata,anza kujiandaa tu.nilimjibu hivyo kwan sikupata support ya wakubwa kuingia government.nikamwambia anza kujiweka vizuri tu anzia oral hadi interview.

Kweli aliitwa interview akapita oral,akanijulisha kapeta nikampa moyo na kumsihi aendelee kujiweka vizuri upstairs,ingawa alinisihi sana nimpigie pande bt nilimsisitiza jiandae vyema ndo silaha and to pray hard.

Akaenda written matokeo yakatoka,hakuwepo kabisa binafsi nilisikia vibaya kwani nilikuwa na opportunity ya kumbeba bt i thought he is good atapeta tu.

Kuna mdau anaitwa perry amekua akipost na kuonyesha kuhuzunika kukosa post TRA,nikajisikia vibaya sana kwani nimekuwa namcall rafiki yangu but hapokei simu zangu wala kujibu text.

But my friend,jipe moyo wakati ukifika you will not regret.nikiri nilichukulia poa suala lako ila kama mtumishi wa umma nilipaswa kuacha system ijudge na kuamua wanaodeserve the most.

So kwako perry ,my friend na wote mlokosa post hizo jipeni moyo wakati wa bwana ukifika itakuwa tu.
mkuu,hivi wew si ndio kuna kipindi flan ulikua unatafuta mchumba kule MMU,Vipi ulimpata?
 
heeh wabongo bana kuna taasisi kibao za kufanya kazi,mbona hamgombei local govt,mxiuuu walewale wenye roho za udokoz na upigaj

Hope hili dongo halimuhusu na rafiki yako unayemsikitikia,maana atajiona ulimuona yeye ni mdokozi na mpigaji ndio maana haukumsaidia.
 
Kwamba alifaulu oral ndo akaenda written? Lazima uliingia kazini kwa mbeleko wewe si bure ndo maana una wivu na hutaki na wengine watoboe, Mungu akulipe kadri ya matendo yako.
Dogo umeanza dharau hata barua hujachukua haya bana
 
Back
Top Bottom