Kuhusu walio chaguliwa nafas za kazi TRA hivi karibuni

Yani simalizi hata kukushangaa sijui mpare wewe, una roho mbaya sana serious hata usingekuja kuandika hiki ulichoandika hivi hujioni mnafiki?
Pyeee acha nikuteme mie
Hahaha we nakujua ugomvi si wako wauvalia kibwebwe lol,relax mamy
 
Umekuja kujishebedua hapa, ulikua katika nafasi ya kusaidia, umeombwa kusaidia hujafanya hivo sasa kinachokufanya ujifanye unaumia unaumia nini, nunua wyne unywe....
Ungeandika kwa ajili ya friend ungemwandikia barua
Naona huyu mleta mada alipata kazi lwa njia zisizo rasmi ingawa hataki ku-disclose.
 
Mtoa mada anataka kuonyesha yeye alikuwa so special ndo maana akapata kazi. Na kweli angeweza kimsaidia labda alihofu njia aliyoingilia itajulikana.
Hamna bana hata sio kujulikana watu wa hivi wapo....
Kuna ndugu zangu flani mmoja ana nafasi nzuri tu shirika flani, yupo katika nafasi ya kusaidia kazi yani uwezo anao 100% ila ndo hasaidii hata ulie machozi, ndugu wa damu wanahangaika kazi ye walaaa na wana vyeti vizuri.

Mwingine kitengo cha ardhi ana uwezo wa kuuza viwanja mashamba, hata vile viwanja huwa vinauzwa na serikali anajua hizo deal, ila ndo hana muda wa kusaidia japo uwezo anao pia
Type za hivi zipo
 
katika visa vya kupata kazi mengi sana hutokea...ili vyote hutokea for a reason..kuna ambao hupata kazi na kuitwa kisha kuwa disqualified kwa ajili ya sababu binafsi za waajiri.. cha msingi ni kuwasihi wandugu waliojaribu wakakosa wasikate tamaa wajaribu huenda riziki zao zipo katika kazi zingine..Allah awaitie nguvu ya kuweza kustahmili hayo oneday maisha yao yatakuwa mazuri mno.
 
Hamna bana hata sio kujulikana watu wa hivi wapo....
Kuna ndugu zangu flani mmoja ana nafasi nzuri tu shirika flani, yupo katika nafasi ya kusaidia kazi yani uwezo anao 100% ila ndo hasaidii hata ulie machozi, ndugu wa damu wanahangaika kazi ye walaaa na wana vyeti vizuri.

Mwingine kitengo cha ardhi ana uwezo wa kuuza viwanja mashamba, hata vile viwanja huwa vinauzwa na serikali anajua hizo deal, ila ndo hana muda wa kusaidia japo uwezo anao pia
Type za hivi zipo

Eve please stop hii ishu iko serious,sio chit chat huku,nimefanya mistake and i regret it,nakujua u pretend to know each and every thing,ila maisha hayako hivo,nakuomba tuishie hapa.this was special for my friend.
 
Mi nshastop na wewe ndo maana hata hapo juu sijakujibu tena, ila mtu akiniquote hapa siwezi kuacha kujibu labda uzi ufutwe....
Special for your friend ungemtumia msg au barua this is jf jukwaa huru unadhani unaweza kunizuia kuandika?? No....
 
No,ila nina baby boy 1,nishavishwa pete ya uchumba and soon will get married to the father of my baby
nitafurahi nikipata japo kadi moja ya mwaliko......

and a piece of advice huu muda unaotumia kujibizana na watu humu ndani kwanini usikae chini na mume wako mkapanga mipango ya maisha yenu.....

Afu kuhusu kumpotezea bwana mdogo huyo rafiki yako hukufanya poa kabisa ni vyema ukamtafuta umwombe msamaha and next time wakitangaza nafasi za ajira hakikisha unambeba vilivyo mpaka anapata nafasi......
 
Ntaifanyia kazi thanks,baba watoto yuko mbali kwa sasa kikazi
 
hivi kumbe haya mambo ya kubebana yaliyokua yanasemwa na wadau humu yapo kweli huko utumishi?
lakini mbona sisi wengine tumepata pasipokumjua mtu yeyote?
 
hivi kumbe haya mambo ya kubebana yaliyokua yanasemwa na wadau humu yapo kweli huko utumishi?
lakini mbona sisi wengine tumepata pasipokumjua mtu yeyote?
mambo yapo mkuu, ila nmeamini bahati nayo inasaidia,
 
Dah ukute msela amekaa kitaa for years alafu unakuja humu unasema ulisoma nae special school daah!! Leo kwake kesho kwako... Ivi hujiulizi kwann mmarekan anawalinda wajapan na waisrael??

Jamaa ameumia sana na usije jiloga ukaenda mfwata maana atakubandua huo uso
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom