K kalumuna Member Joined May 18, 2011 Posts 62 Reaction score 4 Jun 9, 2013 #1 poleni na shughuli za kila siku wakuu,naomba kuuliza kwa anayejua kuhusu wajanja night imeisha moja kwa moja ama kuna wanaoweza kupata access! Nawasilisha!
poleni na shughuli za kila siku wakuu,naomba kuuliza kwa anayejua kuhusu wajanja night imeisha moja kwa moja ama kuna wanaoweza kupata access! Nawasilisha!
N Nyasiro JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 1,201 Reaction score 551 Jun 10, 2013 #2 https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/464194-wajanja-night-has-been-ended.html
K kalumuna Member Joined May 18, 2011 Posts 62 Reaction score 4 Jun 10, 2013 Thread starter #3 duu, basi wangeiondoa hiyo kitu kwenye menu yao!
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Jun 10, 2013 #4 kalumuna said: duu, basi wangeiondoa hiyo kitu kwenye menu yao! Click to expand... hili nalo neno mkuu
kalumuna said: duu, basi wangeiondoa hiyo kitu kwenye menu yao! Click to expand... hili nalo neno mkuu
M mchajikobe JF-Expert Member Joined Aug 14, 2009 Posts 2,678 Reaction score 1,279 Jun 10, 2013 #6 Nyasiro said: https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/464194-wajanja-night-has-been-ended.html Click to expand... Sasa kama hiyo imeisha tungojee wajinga night offer!!
Nyasiro said: https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/464194-wajanja-night-has-been-ended.html Click to expand... Sasa kama hiyo imeisha tungojee wajinga night offer!!
July Fourth JF-Expert Member Joined May 2, 2012 Posts 2,240 Reaction score 795 Jun 10, 2013 #7 Hawa watu wajanja mkuu, wameendelea kuimaintain katika menu yao ili watangaze iyo ofa yao mpya ya jero.. WAHEED SUDAY said: hili nalo neno mkuu Click to expand...
Hawa watu wajanja mkuu, wameendelea kuimaintain katika menu yao ili watangaze iyo ofa yao mpya ya jero.. WAHEED SUDAY said: hili nalo neno mkuu Click to expand...