Kuhusu UTT Microfinance Plc

mapie

Member
Mar 21, 2014
95
43
Wanaforum Kaka Na Dada.

Kwanza Natanguliza salam kwenu,

Naomba tafadhali kuuliza Kwa mtu yoyote anayefaham packages(Basic Salary and Other Benefits) ya Credit Officer wa UTT Microfinance.

Naomba tafadhali unayefaham share pamoja nasi.

Asante.
 
Sidhani kama itazidi laki saba. Mishahara ya ma loan officers kwenye taasisi nyingi iko chini. Ila usijali we ingia tu hata wakikupa laki tatu. Nyingine 'utazitengeneza humo humo'.
 
Back
Top Bottom