Nakuharibia move nini..........kila mtu na bahati yake
charminglady mwenyewe anaona raaaha watu wavyohema! una balaa we mtoto, ngoja nikalale miyeMi hujui namilikiwa? Recently hukuona Thrade yenye headin'
"Judgement Mtamu si haba"
Hapa mie kama Iniesta natoa mapande ya mwisho tu, kazi kwako nyavu zina njaa huzioni ?
Cheka na nyaya babaake !
Kaizer mwanzo wa ndogo ni kubwa so pesa ni pesa anapaswa kuwa mkweli wi-fi wake
Apia.......
There are currently 6 users browsing this thread. (5 members and 1 guests)
charminglady acha kula kobisi humwoni platozoom alivokutolea macho, mida hii abiria wachache!
Charmy, nipe idhini nikuunganishe na MWENZA utakaekuja kushauriana nae ktk issue za kihivi.
haki ya mbuzi kondoo shahidi!!!!!!!!!
shindwa shindwa kwa jina lakooooooo!!!!!!!!! nakukemea unajua wakati huo nilikuwa church kwenye mkesha lolest ngoja baba mchungaji aje akusikie!!!!!!
duh,ngoja wanandoa waje wakujibu. couz me nikitaka kukopa / kukopwa pesa cna wa kumtaarifu wala kumuomba ruksa!