salosalo
JF-Expert Member
- Jun 7, 2012
- 596
- 278
Naomba kufahamu yafuatayo juu ya usaili unaotegemewa kufanyika pale Duce tarehe 15 Dec 2012.
- Je kutakuwa na kuunganisha interview zote mbili(written and oral) kama ilivyozoeleka, ile ya kufanya leo written kesho oral ukipita written?
- Kama hakutakuwa na kuunganisha interview ya witten na oral kwa siku zinazofuatana, je inachukua muda gani mpaka majibu ya written interview yatoke? - hapa naomba uzoefu wa wale waliofanya interview ya tar 8 Dec 2012.