nature ya jamii zetu ilikuwa mfumo dume, idara hizo ziliundwa tokea enzi hizo na lengo kuu hasa ni kumsaidia mwanamke hiyo ya wanaume iliwekwa ili kubalansisha mambo... unadhani wanaume wote wanaonyanyaswa kijinsia hawaendi kulalamika ni wajinga au hawana akili. kidume ukienda pale hutaambulia lolote zaidi ya kujidhalilisha tu labda kwa case itakayohusu unyanyasaji wa mtoto kidogo utasikilizwa napo watamkanya kwa upole sababu wanajua mama ndiye mlezi.