KUHUSU USALAMA JF!!

KUHUSU USALAMA JF!!

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
15,127
Reaction score
35,494
Wakuu habari,,
Baada ya JF kurejea kutokana na kutokuwepo hewani kwa takribani wiki 3 mwezi June 2018, uongozi wa JF ulikuja na pendekezo lifuatalo ili kulinda usalama wa watumiaji.kwakua wakati huo sikuwa member nimeona nilete swali hili ili watalaamu wa IT na wajuzi wengine wa usalama mtandaoni na waweze kutusaidi kujua mambo kadhaa.
1.Je Protonmail na Hushmail wanaposema wana 'end to end encryption' na kwamba servers zao zipo Uswisi na hivyo zipo outside US na EU jurisdiction wana maanisha nini kwa usalama wa mtumiaji?
2.Je tofauti ya kiusalama ni ipi kati ya mtu anaetumia Gmail au Yahoo na yule anaetumia Proton au Hushmail?
3.Je mtumiaji wa JF yupo salama kiasi gani,yaani mfano mtu akitaka kukufuatilia na kukujua hasa kwa mtu ambae sio verified user kupitia labda IP address na mbinu zingine za kitekinolojia?

NB.kwa wale wenye weledi wa haya mambo ingekua vizuri wangetumia lugha rahisi ili tuweze kuelewa.
Nimeweka viambatanisho vyote kuhusu nilichouliza hapa.
Ahsanteni.
Screenshot_20180927-165741.jpg
Screenshot_20180927-163853.jpg
Screenshot_20180927-164007.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20180927-165741.jpg
    Screenshot_20180927-165741.jpg
    72 KB · Views: 51
Usalama sio mkubwa kutokana na links zinazowekwa humu third party wanauwezo wa ku access IP address zetu na kutu tracy
 
Links mfano za mitandao au habari fulani kutoka site tofauti?
Ndio kiongozi, kuna jamaa angu mmoja pamoja na mimi tuliamua kutengeneza virus na kuituma kama ujumbe na ukiifungua unakuwa tracked popote pale na chochote sensitive utakachokifanya online tunapata info zake
 
Du kwahio there's no way hata ukiwa na unverified name sio kitu
 
Stay on your own Lane.. utajiepusha na matatizo mengi sana. Tatizo watu mnapenda kujiingiza kwenye Mambo yasiyowahusu ndio maana mnaishia kupata matatizo.
 
Stay on your own Lane.. utajiepusha na matatizo mengi sana. Tatizo watu mnapenda kujiingiza kwenye Mambo yasiyowahusu ndio maana mnaishia kupata matatizo.
Umesema ukweli mkuu
 
Back
Top Bottom