Kuhusu upimaji viwanja

Kuhusu upimaji viwanja

Ni vizuri kuwa na kumbukumbu ya namba ya jiwe. Kama limepotea wakija na mashine wakiweka watatambua coordinate na sehemu husika ya jiwe. Pia kama limepotea ukiwa na kumbukumbu na document sahii unatengenezewa upya. Ukishapata plot number hicho/hiko kiwanja hakipotei.
haaa kumbe no za beacon ni lazma kuzikariri?
 
Ni vizuri kuwa na kumbukumbu ya namba ya jiwe. Kama limepotea wakija na mashine wakiweka watatambua coordinate na sehemu husika ya jiwe. Pia kama limepotea ukiwa na kumbukumbu na document sahii unatengenezewa upya. Ukishapata plot number hicho/hiko kiwanja hakipotei.
Plot number ndo inaandikwa kwenye jiwe?
 
Wataalamu naomba kueleweshwa juu ya upimaji viwanja. Naomba kujua vifuatavyo:
1. Yale mawe aka bicon yanamaanisha nini?
2. No. Za juu ya mawe zunawakilisha nini?
3. Je kila no. Ya jiwe inatofautiana toka jiwe moja kwenda jingine?
4. Yale mawe katikati kuna chip au sensor yeyote endapo litazama ndani ya udongo, location yake unajuaje?
5. Gharama za kuprocess hati kwa sasa ni kiasi gani, baada ya hatua ya upandaji mawe kuisha.
Karibuni wataalamu wetu.
Maelezo ni Marefu ila kwa Ushauri Nenda Ofisi yoyote ya Ardhi Halmashauri Manispaa au Kamishna Msaidizi Mkoa Onana na Mtalaamu wa Upimaji SURVEYOR atakupa Ufafanuzi wa Maswali yako
 
Naomba kujua hili! Katika UPIMAJI SHIRIKISHI, kampuni imepima na kuniwekea BEACONS, lkn mwaka wa pili sasa wameingia mitini! Nawezaje kuumalizia mchakato mwenyewe?
Wewe mwenyewe huwezi ile ni Taalumu Nenda Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri Ofisi ya Ardhi Mipango Miji watakuwa Wanaijua hiyo Kampuni kwani ndio waliipa hiyo Kazi ya kuwapimia wananchi
 
Back
Top Bottom