Aaron
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,019
- 4,693
Wakuu
Sasa Jecha tayari kapuliza kipenga tayari kurudiwa uchaguzi....ila kwa bahati mbali timu husika haziruhusiwi kufanya jalamba ili kujiweka fit.. Kwamba baada ya mechi ilikwisha takribani miezi 3 imepita lakini timu haziruhusiwi kufanya hata zoezi kidogo ili kujiweka fiti...
NINAPOCHANGANYIKIWA ZAIDI NA KUHITAJI MSAADA.
Aliyekuwa mgombea wa ADC yule msaliti kwa habari nilizozipata ni kwamba amefukuzwa uanachama..sasa itakuwaje na bwana jecha amekwisha kusema wachezaji ni wale wale sasa huyu hana timu... Na iliyokuwa tumu yake sasa haina mchezaji hapa nakuna kichwa wajuzi wa sharia mnisaidie...
Pili.. Miongoni mwa sababu za kufutwa uchaguzi ni pamoja na wajumbe wa tume kutifautiana na kusababisha kushikana mashati na vitenge huku eti wakizichapa.. Sasa hawa watu kweli si bado wapo kwenye tume...je wamejirekebisha??
Utata mwingine binadamu si mashine kwa mfano huyu jecha anayeonekana ndie uwanja..kocha..mchezaji...na refa je akipata itirafu kidogo uchaguzi utasitishwa tena au anachaguliwa jecha mwingine...!!!
Ni hayo tu...pamoja na udogo wangu naomba msaada wenu wakuu..