Kuhusu TECNO

Kuhusu TECNO

kifuba

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
49
Reaction score
39
Samahani wadau nami nataka kujiunga katika ulimwengu wa digital, naulizia ni aina gani ya tecno smart phone ambayo ni poa na ya bei nafuu kwa sasa, bei isizidi 150,000. Mi niko Dar, asanteni wadau
 
Tecno phantom A+ balaaa, iko juuuu.
 
tecno p5 hutajuta kuzaliwa utapenda sana huo ulimwengu wa digital
 
p5 na h5 kitu moja. h5 is a bit cheaper hence makesmore sense
 
Back
Top Bottom