B Bonson05 Member Joined Oct 12, 2012 Posts 77 Reaction score 12 Sep 25, 2014 #1 habari wanajamvi... naomba msaada kwa anaejua hili... nina tecno f7 imepasuka screen je inaweza kupata screen ya kureplace au ndo basi tena? naomba maelekezo au namba za cm napoweza pata msaada kwa mbeya , mwanza, au dar... asanteni
habari wanajamvi... naomba msaada kwa anaejua hili... nina tecno f7 imepasuka screen je inaweza kupata screen ya kureplace au ndo basi tena? naomba maelekezo au namba za cm napoweza pata msaada kwa mbeya , mwanza, au dar... asanteni