kuhusu tcu second round application

kuhusu tcu second round application

RJ45

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2014
Posts
340
Reaction score
119
mbona wengine tumeingia kwenye profile zetu hakuna kilchobadilka na sasa hv nikijarb naambiwa sever timed out??????
msaada kwa anaejua tafadhali!!!!!!!!!!
 
Subiri kidogo watawatolea jamani majina yenu msijali

ngja tuone ila wengne wakiingia wanakuta mabadlko kwny profile zao kuna ujumbe wa kuwaambia wamechagulwa lkn wengne hakjabadloka kitu!
 
Wadau msiangaikr na profile nendeni kwenye website za vyuo mlivyoomba majina yameshatoka mda xana.
 
Binafsi profile haijachange mpaka ss but nimeingia kwenye website ya T.I.A baada ya kuambiwa nikakuta jina langu
 
Hao wanayaona kwenye vyuo walivyopangiwa na sio kupitia account zao za tcu na tcu watazifungua account za kisha ndio muweze kuona vinginevyo subiria kila chuo wakitoa majina kama ulikichagua jiangalie huko kama la subiria chuo utapata usiteseke ndivyo inavyokuaga miaka yote
 
hawa wanaosema wameona majina yao vyuoni ni applicant wa round ipi second au??
 
Back
Top Bottom