Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,741
Wadau wa Simba hamna hata mwenye mzuka wa kutupa updates za friend match ya Simba na URA. Hebu tupieni updates Bhana
Subiri matokeoUwanja wa Taifa
Watueleze tu kinachoendeleaWakishinda watakuja na updates kibao kwa wingi.
Mm ni yanga damu ila naiombea simba ishinde ili kombe libaki nyumbani🙂
Kuna Ukweli wowotte kukusu keki cup
Kuna Ukweli wowotte kukusu keki cup
Ata mm nimesikia hivyo hivyo tu mkuu.Kuna Ukweli wowotte kukusu keki cup