Hahahahaha kuna rafiki yangu anasema ameshachoka kupanua miguu mtaani,anataka akapanue akili darasani.Bado uko faster sana kesho utaona selection.
Bado uko faster sana kesho utaona selection.
We jamaa c ulisemaga kusoma udom hutaki ni bora ukasome madrasa.. saivi vipi tena?Labda ngoja iyo kesho tuchek
Kwan nmekwambia nataka nikasome udom. Mm tayar nmeshachaguliwa NASA support tu nyiny ili thread yenu iwe update kila mara.We jamaa c ulisemaga kusoma udom hutaki ni bora ukasome madrasa.. saivi vipi tena?
Ahahaaaaaah...Kwan nmekwambia nataka nikasome udom. Mm tayar nmeshachaguliwa NASA support tu nyiny ili thread yenu iwe update kila mara.
Nyambafu
Wapi wewe nimekufatilia sana, ulikua unasubir sec round ya udom kwa hamu kwelii... nshakuona kwenye nyuzi nyingi umuuu hahahaaaahKwan nmekwambia nataka nikasome udom. Mm tayar nmeshachaguliwa NASA support tu nyiny ili thread yenu iwe update kila mara.
Nyambafu
Wapi wewe nimekufatilia sana, ulikua unasubir sec round ya udom kwa hamu kwelii... nshakuona kwenye nyuzi nyingi umuuu hahahaaaah
ww udom n chuo cha Kata hakiwez kugombaniwa Ata cku mojahuyo jamaa anaejiita mtekateka atuambie anasoma nn na chuo ganWe jamaa c ulisemaga kusoma udom hutaki ni bora ukasome madrasa.. saivi vipi tena?
