Kuhusu Scholarships, Msaada Plz!..

Kuhusu Scholarships, Msaada Plz!..

SENGATI

Senior Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
127
Reaction score
26
Katika pita pita yangu nimekutana na Scholarship programs za masters degree. Sina idea hata kidogo kuhusu hii program... Tafadhali mwenye kufahamu A B C ya hizi Scholarship progams za master's degree particularly in German naomba anisaidie kujua ni hatua gani za kupitia na mchakato wake mzima uko aje hadi unapata hiyo chance.. Natanguliza ASANTE
 
Ungeweka na link ya hizo programmes ingeasaidia zaidi kupata majibu ya kujitosheleza.Weka link mkuu.
 
Ungeweka na link ya hizo
programmes ingeasaidia zaidi kupata majibu ya kujitosheleza.Weka link
mkuu.

hapa cna access na net coz natumia cm bt ntajitahid niweke hzo link ndugu
 
German uwaga wanatoa scholarshp kwa waliofny kaz for two years ndo unarucwa kuomb scholarshp, mo info german embassy
 
mbona ndugu yangu UKI umeshangaa badala ya kutoa mawazo yako asee?

mkuu ukweli nimeshangaa kwa sababu ninavyojua ukiona schoolarship iwe kwenye website au sehemu yoyote lazima kutakuwa kuna kwanza kuna vigezo vya kuweza kuaply na vilevile kuna jinsi ya kuaply hiyo scholarship mkuu ukija humu sidhani kama utaweza kupata msaada wa namna hiyo kwangu mimi labda kama kuna kitu kimekushinda kwenye hayo masharti ndio useme nifanyeje ili niweze kuapata hicho kigezo kama cha kuandika labda proposal ya kuomba hiyo scholarship na vitu vingine, mkuu mimi nilsihawahi kukumbana na hiyo kitu na walikuwa wanavigezo kibao moja baada ya kiingiine mwisho wa siku nikaambulia 20% of tution fees nikamshukuru mungu kwa hiyo mkuu najua lazima kuna masharti na vigezo ya hiyo scholarship ipitie kwanza kwa umakini kabla hujaileta hapa jukwaani wengi wanataka hizo scholarship labda kama unataka na wengine waweze kuaply unaweza kuiweka hapa,
 
Back
Top Bottom