Akili nyingi sana imetumikaHuo ni mchezo wa kitapeli yaani tunafanya hivi. Tunayakusanya mengi kisha tunampa mmoja wetu. Kisha mi natagaza dau mfano salafu moja ni milioni moja kisha tunamtafuta mlengwa hasahasa wastaafu serikalini akiwa na pesheni yake. Mnamwambia yanahitajika harafu tunamwambia yanakopatikana na yanauzwa laki mbili kwa limoja. Ye anayanunua yaleyale ya kwetu yote hata kwa milioni kumi harafu huku mteja ninapotea kwenye mazingira ya kutatanisha. Anabaki na matakataka yake huku m, kumi tushakomba kwake
Kiukweli now nimefunguka sanaNyumba yangu nimeijenga kwenye msingi wa mjerumani. nilikuwa na reli nyingi za 1890 za mjerumani, Nina mpaka shimo yalipozikwa magari ya mjerumani lakini asikudanganye mtu ni uongo. Sitasema zaidi ila nimelalia hazina yao ambayo haina faida kwangu walwa kwa familia. Nilitaka kuongeza nikaogopa akina Mwifwa watanikaba.
cc' ,mwifwa
Itakuwa sio kweliHuku kuna sehemu hapo kuna sasa pembeni hivi maji yakiwa yanapita hufanya kuzunguka kisha kuendelea na pembeni kuna shimo huwa tunaambiwa kuna Mali za mjerumani pia kuna watu walienda kuzichukua lkn hawatoki hufia hukohuko sijui kama ni kweli