Kuhusu sarafu za Mjerumani

Kuhusu sarafu za Mjerumani

dawa yenu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
2,833
Reaction score
3,753
Nina jamaa yangu, kwa siku za hivi karibuni amekuwa busy sana kutafuta hizi sarafu. Jamaa yangu yupo full committed kiasi kwamba anaweza kupotea town hata wiki kadhaa na siku akionekana anasema alikuwa chimbo huko anazisaka hizo pesa za Mjerumani.

Sasa Jana karudi kutoka Morogoro akiwa na sarafu kadhaa kibindoni. Ana matumaini na furaha ya ajabu. Anaongelea utajiri, anaongelea vile life litabadilika atakapompata buyer wa hizo sarafu. Jamaa anazungumzia magari, majumba na makorokoro mengine yaani life flani la bata ndefu kama Jacky Pemba au Mondi bin Chibu Dii Chibu Dee!

Kiukweli, mimi sijui lolote kuhusu hizi mishe ila najua humu kuna wajuzi kutoka kila kada na hakuna swali liliwahi kukosa jibu mahali hapa. Hivi hizi habari za utajiri wa sarafu zina ukweli wowote au jamaa yangu kalishwa matangopori na wahuni wa mjini?

Kama kuna ukweli wowote basi tujuzane ni tajiri gani hapa TZ ambaye utajiri wake ulitokana na kuuza hizo sarafu. Na kama kuna ukweli, soko la hizi sarafu liko wapi hapa nchini? Ipi thamani halisi ya hizi sarafu? Hivi huu utajiri wa hizi sarafu ni utajiri kweli au ni pesa tu ya kubadilishia mboga na viwalo?

Kiukweli huyu jamaa yangu anaongelea utajiri kirahisi Sana! Kwake utajiri ni kama event flani hivi ambayo sasa ndio zamu yake. Hii ni spirit ya washkaji wengi wanaotafuta hizo pesa! Kuna ukweli wowote au hizi pesa zina mashetani ya kuwavuruga watu akili? Mbona wanakuwa na misimamo inayofanana? Hofu yangu isije ikawa jamaa yangu anachanganyikiwa mdogo mdogo!

Jana karudi kutoka Morogoro huko ndani ndani maeneo ya Kilombero na sarafu zimeandikwa 5 Heller za mwaka 1908, pia zipo 20 Heller za mwaka 1916 na nyingine ina maneno ya Kiarabu hivi.

Nijuzeni ukweli wa haya mambo ili nijue namsapoti vipi mwanangu next time niende naye chimbo au nimuache achanganyikiwe kivyake.
 
Kwa punguzo la bei za majeneza fanya booking mapema kabisa jeneza la size yake. Maana anakufa na bp muda si mrefu baada ya kugundua alivyotapeliwa. Kwanza kabla hata hajayauza hebu mwambie ampigie simu wa kule alikoyatoa kama atapatikana!!!
 
Mkuu mwambie aje ninazo mpaka Pound za sarafu njoo pm
 
Huo ni uraibu(adiction) nyingine kwa baadhi ya watu. Kuna watu muda wao mwingi wanatumia kushughulika na illusion ya utajiri wa pesa au mali za Mjrumani, na wote wanaofanya hivyo maranyingi huwa wana struggle hata hela ya kula!!!

Hakuna kitu kama hicho. Hakuna mali ya Mjerumani wala hakuna mteja yeyote wa sarafu za Mjerumani eti atanunua ukiwa nazo upate utajiri. Ni ndoto tu za mwendawazimu ambazo bahati mbaya wengi wanao ota huchelewa sana kuamka
 
Kwa punguzo la bei za majeneza fanya booking mapema kabisa jeneza la size yake. Maana anakufa na bp muda si mrefu baada ya kugundua alivyotapeliwa. Kwanza kabla hata hajayauza hebu mwambie ampigie simu wa kule alikoyatoa kama atapatikana!!!
Duuh kumbe mambo ni mengi Hadi majeneza humo humo
 
Huo ni uraibu(adiction) nyingine kwa baadhi ya watu. Kuna watu muda wao mwingi wanatumia kushughulika na illusion ya utajiri wa pesa au mali za Mjrumani, na wote wanaofanya hivyo maranyingi huwa wana struggle hata hela ya kula!!!

Hakuna kitu kama hicho. Hakuna mali ya Mjerumani wala hakuna mteja yeyote wa sarafu za Mjerumani eti atanunua ukiwa nazo upate utajiri. Ni ndoto tu za mwendawazimu ambazo bahati mbaya wengi wanao ota huchelewa sana kuamka
Yes, jamaa yangu yupo addicted kinoma. Eti anasema wakati yupo njiani kuna mtu aliongea nae kwa simu walikubaliana aje amuuzie Sasa tokea asubuhi huyo mtu hapatikani... Hivi kweli ingekuwa na faida ya hivyo huyo mtu angeacha kupatikana kweli?
 
Nina jamaa yangu, kwa siku za hivi karibuni amekuwa busy sana kutafuta hizi sarafu. Jamaa yangu yupo full committed kiasi kwamba anaweza kupotea town hata wiki kadhaa na siku akionekana anasema alikuwa chimbo huko anazisaka hizo pesa za Mjerumani.

Sasa Jana karudi kutoka Morogoro akiwa na sarafu kadhaa kibindoni. Ana matumaini na furaha ya ajabu. Anaongelea utajiri, anaongelea vile life litabadilika atakapompata buyer wa hizo sarafu. Jamaa anazungumzia magari, majumba na makorokoro mengine yaani life flani la bata ndefu kama Jacky Pemba au Mondi bin Chibu Dii Chibu Dee!

Kiukweli, mimi sijui lolote kuhusu hizi mishe ila najua humu kuna wajuzi kutoka kila kada na hakuna swali liliwahi kukosa jibu mahali hapa. Hivi hizi habari za utajiri wa sarafu zina ukweli wowote au jamaa yangu kalishwa matangopori na wahuni wa mjini?

Kama kuna ukweli wowote basi tujuzane ni tajiri gani hapa TZ ambaye utajiri wake ulitokana na kuuza hizo sarafu. Na kama kuna ukweli, soko la hizi sarafu liko wapi hapa nchini? Ipi thamani halisi ya hizi sarafu? Hivi huu utajiri wa hizi sarafu ni utajiri kweli au ni pesa tu ya kubadilishia mboga na viwalo?

Kiukweli huyu jamaa yangu anaongelea utajiri kirahisi Sana! Kwake utajiri ni kama event flani hivi ambayo sasa ndio zamu yake. Hii ni spirit ya washkaji wengi wanaotafuta hizo pesa! Kuna ukweli wowote au hizi pesa zina mashetani ya kuwavuruga watu akili? Mbona wanakuwa na misimamo inayofanana? Hofu yangu isije ikawa jamaa yangu anachanganyikiwa mdogo mdogo!

Jana karudi kutoka Morogoro huko ndani ndani maeneo ya Kilombero na sarafu zimeandikwa 5 Heller za mwaka 1908, pia zipo 20 Heller za mwaka 1916 na nyingine ina maneno ya Kiarabu hivi.

Nijuzeni ukweli wa haya mambo ili nijue namsapoti vipi mwanangu next time niende naye chimbo au nimuache achanganyikiwe kivyake.

Kamateni huyu raia na mumfunge kamba...
 
Mwambie aende wizara ya madini apo atapata msaada
 
Labda akawauzie wale jamaa wa k/koo "tunanunua pesa chakavu na hela za kigeni karibuni sanaa" [emoji441]
Mchizi ni mwanangu Sana sema tokea kaingia kwenye huu "uraibu" huwa hanielewi kirahisi
 
Huo ni mchezo wa kitapeli yaani tunafanya hivi. Tunayakusanya mengi kisha tunampa mmoja wetu. Kisha mi natagaza dau mfano salafu moja ni milioni moja kisha tunamtafuta mlengwa hasahasa wastaafu serikalini akiwa na pesheni yake. Mnamwambia yanahitajika harafu tunamwambia yanakopatikana na yanauzwa laki mbili kwa limoja. Ye anayanunua yaleyale ya kwetu yote hata kwa milioni kumi harafu huku mteja ninapotea kwenye mazingira ya kutatanisha. Anabaki na matakataka yake huku m, kumi tushakomba kwake
 
Nyumba yangu nimeijenga kwenye msingi wa mjerumani. nilikuwa na reli nyingi za 1890 za mjerumani, Nina mpaka shimo yalipozikwa magari ya mjerumani lakini asikudanganye mtu ni uongo. Sitasema zaidi ila nimelalia hazina yao ambayo haina faida kwangu walwa kwa familia. Nilitaka kuongeza nikaogopa akina Mwifwa watanikaba.
cc' ,mwifwa
 
Kwani ukijitaja kwamba ni wewe kuna shida? Endelea kuota

Back
Top Bottom