Kuhusu salary ya July, kuna mtu hajapata?

Kuhusu salary ya July, kuna mtu hajapata?

Ndg ni shida.Mimi bado salary haijaingia.Taarifa naambiwa ziko sahihi lakini mshahara hauingii.Kimsingi inaumiza sana kiasi kwamba mtu hawezi kutulia saikolojia yakeyake kazini.Nasikia majina ya baadhi ya watumishi yamefanana na wengine.Hii sijaielewa maana kama ni kuhakikiwa tulihakikiwa kila kitu kilikuwa sawa.
Basi wanaohusika watoe maelekezo ni nini tufanye na kama majina yamefanana na wale ambao walikuwa hawajahakikiwa tuambiwe tupeleke vyeti vyetu halisi.
 
KUNA ALIYEINGIZIWA MSHAHARA WAKE LEO ALHAMISI? MAANA NILISIKIA MWISHO NI TAREHE 27 MWEZI HUU ILA BADO AKAUNT IKO TUPU,TATIZO HALIJULIKANI.
 
Namshukuru Mungu mshahara umeingia.Mwenyezi Mungu awabariki sana wahusika kwa kuchezea saikolojia zetu kwa kiasi kikubwa maana hata mawazo ya increment yalishafutika.Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
 
Namshukuru Mungu mshahara umeingia.Mwenyezi Mungu awabariki sana wahusika kwa kuchezea saikolojia zetu kwa kiasi kikubwa maana hata mawazo ya increment yalishafutika.Tanzania nakupenda kwa moyo wote.
Jitahidi ujikite na mishe zingine za kukuingizia kipato mkuu.
 
Back
Top Bottom