wicalumtata
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 329
- 112
poa mkuu
wakuu alpha1 hii ni nini, ni mnataka kuunda kiwanda cha kutengeneza subwoofer tuache kuagiza china au ni kitu gani,nimeishia kuona macodes baaasi,ehe ni vitu gani hivyo mnatengeneza?
fanyeni mambo wakuu, kuna watu tunasikia wamegraduate electronics pale udsm na dit ila hatujui wanafanya nini na nini wamefanya kimeonekana, hasa kwenye maswala ya sound systems
Hiyo ni kweli. Kama unataka kufanyia biashara, inabidi kununua components kwa wauzaji wa jumla au kiwandani na ununue nyingi.kaka hapo nmekupata ,ila vifaa vya electronics ni garama sana au kwasabu vinatoka nje ya nchi? yan kama nataka nifanye za biashara ni kazi ya ziada sana hapa, maana components ni bei juu kuliko hata bei ya kuja kuuzia
Hakuna shida Mkuu. Jipange.kuhusu iyo 75% wala usiwe na shaka, ntakujulisha nikiwa tayari
pia na ss tunahitaj support kubwa kutoka kwenu nyie,maana tunaweza unda musik system afu tukapewa sifa nyingi sana, then no support ili tuweze kwenda beyond,mfano tumeunda musik system ya TSH 250000 lakin mwisho wa siku inaishia kuto nunuliwa @ hii ndo tanzania
Hili suala la ku-interface PT2313 na MCU ili kupunguza gharama za uzalishaj, nalishughulikia, nikikamilisha mapema kabla ya kupata digital potentiometer, nitakujulisha.kaka hapo nmekupata ,ila vifaa vya electronics ni garama sana au kwasabu vinatoka nje ya nchi? yan kama nataka nifanye za biashara ni kazi ya ziada sana hapa, maana components ni bei juu kuliko hata bei ya kuja kuuzia
ndio unaweza kuzifanya zitumie muundo wa 3.1 badala ya 5.1 .ambapo hapa katika mgawanyo kati ya FR, SR,FL,SL naziweka pamoja.lakin mkuu kuna IC PT2258 nilishaona wameitumia wachina katika 5.1 ila sijawah kuifuatiliaHili suala la ku-interface PT2313 na MCU ili kupunguza gharama za uzalishaj, nalishughulikia, nikikamilisha mapema kabla ya kupata digital potentiometer, nitakujulisha.
Ila kutumia PT2313 pekee, huwezi kutengeneza system ya 5.1 (6-outputs),kila channel ikiwa controlled independently, bali utapata system ya 3.1 (4-outputs), ila unaweza kuzifanya tweeter amps ku-share output toka kwenye PT2313.
PT2258 ni 6-channel Electronic volume controller tu, haina feature ya input signal multiplexing (haina multiplexer) hivyo huwezi itumia kuchagua zaidi ya input moja kati ya MP3, CD, DVD etc na ndo maana huwa inatumika pamoja na PT2323 6- channels Audio Signal Processor ambayo haina volume controller ndani yake.ndio unaweza kuzifanya zitumie muundo wa 3.1 badala ya 5.1 .ambapo hapa katika mgawanyo kati ya FR, SR,FL,SL naziweka pamoja.lakin mkuu kuna IC PT2258 nilishaona wameitumia wachina katika 5.1 ila sijawah kuifuatilia
PT2258 ni 6-channel Electronic volume controller tu, haina feature ya input signal multiplexing (haina multiplexer) hivyo huwezi itumia kuchagua zaidi ya input moja kati ya MP3, CD, DVD etc na ndo maana huwa inatumika pamoja na PT2323 6- channels Audio Signal Processor ambayo haina volume controller ndani yake.
PT2313 ina input signal multiplexer, tone controller(bass & treble),pia loudness na volume controller features, ila ina stereo inputs 3 na stereo outputs 2.
Mkuu, najua inalipa ndo maana nikaamua kijikita huko baada ya kuona kuna hii fursa katika nchi yetu. Nakuwa nafanya kidogo kidogo huku naendelea kujifua hasa kwa kujisomea na kufanya practicals mi mwenyewe, ila inagharimu muda, pesa na pia inahitaji concetration sana ya akili.
Nami nafuata nyayo za hao jamaa ulowataja na pia hizo changamoto ulozitaja zipo, ila inabidi kukabiliana na kila moja kwa wakati wake.
Kwa upande wa bidhaa, si sound systems tu ambazo nashughulika nazo, bali najifunza Embedded Systems kwa ujumla kiasi kwamba nikiiva, niwe na uwezo wa ku-design chochote kutokana na concept yangu au ya mteja, niunde kitu ambacho ni operational kwa upande wa electronics, kwa kutumia digital technology.
Nashukuru sana kwa kunipa moyo wa kusonga mbele na kuonyesha mtazamo chanya kuhusu hii fani, kwani asilimia kubwa ya watu wanakuwa na mtazamo hasi, wenye malengo ya muda mfupi(Panda-vuna papo kwa papo), wakati kwa upande wangu ni kinyume.
Nashukuru serikali imeanza kutambua kwamba ukuaji wa sayansi na teknolojia unasukumwa mbele kwa ubunifu, ambao ni chachu kubwa katika maendeleo na uchumi wa nchi kwa ujumla, wakaanzishta taasisi/tume kama COSTECH, TANZICT na BUNI Hub. Hilo ni jambo jema, ila tatizo ni CENTRALIZATION: Huduma ni Dar tu basi, mikoani hakuna kitu.