Kuhusu post za TPA

Duh unachokisema n kwel mkuu POST 1 watu 300 mpaka nimekata tamaa....
Unashangaa ilo wakati STATISTICIAN post 1 watu 688.. uki calculate odds za kupata iyo nafasi ni 0.00146, sali sana.
 
haaaaa yn kuna jamaa angu hajaitwa ni customer care pale tigo huduma kwa wateja nimeshangaa kidogo kwa post km customer care alooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…