Mkurabitambo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2010
- 230
- 57
habar wanaJf,natumain mu wazima. Kuna kauli wanagamba hupenda kutumia ''ni upepo tu''.wakitumia tabia ye2 watanzania ya kusahau na kutohoji.
Tumesahau kwamba uswis kunapesa zetu,2mewaacha mabwenyenye wachache kula pesa zetu.
Kwa wanajamii wenzangu inaweza kuwa ni upepo lakin kwangu bado ninawiwa na kutaka kujua ukweli wap zilipo pesa zetu?
Wenzangu mnajua?