Ni udhalilishaji wa kukemewa kwa nguvu zote!! Shosti mie hakuna uharamu hata kwa wazazi maana baadhi ya hao watoto ndio huwa ndio wanakujaga kuokoa jahazi mbele ya safari. So eventually, unaishia kumshukuru Mungu aliekujalia kupata huyo mtoto, regardless of circumstances.