Possibly wame upgrade asee maana nimefurahi na spidi yao sio mbaya kwa kusurf hata kudownload
Hao wadude niliwajaribu mwezi uliopita iligoma kabisa kusoma 3G hadi niliposet dashboard ndiyo ikasoma yaani kitu ni Edge labda wawe wameupgrade net siku za karibuni
Wakuu mna-connect vipi kwenye pc, nimejaribu kutumia join air na connection manager nyingine lakini sipati kabisa signal. Au nahitaji kutumia universal modem. Nyie mnatumia modem gani ?
Sababu sija-unlock modem yangu directly huwa natumia dashboard join air (ili ni-connect airtel kwenye modem ya voda na vice versa) sasa tatizo nikiweka hii line ya BOL hakuna signal yoyote (dashboard haitambui line) kwani wewe una modem gani na dashboard yako ni ipiKeyserSoze hapo nilichomeka line dashboard ikasoma nikaconnect km kwenye mitandao mingine
Sababu sija-unlock modem yangu directly huwa natumia dashboard join air (ili ni-connect airtel kwenye modem ya voda na vice versa) sasa tatizo nikiweka hii line ya BOL hakuna signal yoyote (dashboard haitambui line) kwani wewe una modem gani na dashboard yako ni ipi
Ngoja nitafute join air connection nijaribu nione itakuwaje
Hii kitu ni kweli maana hata mimi natumia huku arusha tatizo ni kwenye modem haisomi sijui shida ni nn hata ukiweka kwenye simu ya bb tatizo ni hilo ila kwa simu za samsung galaxy inapiga kazi poa
Tunasubiri feedback kama ni unlimited kweli
Mbona watapata shavu tu
Tunasubiri feedback kama ni unlimited kweli
Mbona watapata shavu tu
Sababu sija-unlock modem yangu directly huwa natumia dashboard join air (ili ni-connect airtel kwenye modem ya voda na vice versa) sasa tatizo nikiweka hii line ya BOL hakuna signal yoyote (dashboard haitambui line) kwani wewe una modem gani na dashboard yako ni ipi
BOL kwa Dar ni 2G, 3G ipo mikoani tu.
Source: piga 100 huduma kwa wateja.
njunwa wamavoko jamaa nilipomdadisi akaniambia wame nunu liwa na agakhan group na wameanza kusambaa mikoani. mwanza wanaanza officially tarehe 17 march. Ngoja niendelee kuwatumia nione kama wana unafuu ama wazinguaji nitupe kule...
Hao wazinguaji kwanza hawajasajiliwa na ni wezi ndio maana hata line zao hazina hata namba na wanapokuja sehemu kuuza line wanakuja na mtambo wao wanauseti mazingira Yale Yale ukijalibu kuweka line inasoma ukiondoka nayo kwenu chenga huku Dar wamekimbizwa kwa kuwaibia wetu na hiyo campuni ya agakhan haipo katika campuni zilizosajiliwa kutoka huduma ya mawasiliano. wakamateni wapelekeni police.

Point of correction Aghakhan ni wamiliki mtandao ulio sajiriwa kwa mawasiliano ni BOL
Unaposema line zao hazina namba wewe ni muongo mkubwa na unaropoko bila kutafiti...au ulimaanisha namba zipi?BOL namba inaanza na 079*******
Hivi unawaona TCRA ni wajinga kiasi hicho...yaani mtandao uendeshe biashara zao bila kusajiliwa?
Come to your senses man
Wajinga ndio waliwao!!! teh teh teh!!! Endeleeni kuwaibia watu mikoani Dar mmeshindwa.Wana JF Hakuna kampuni ya mawasiliano ya simu inayoitwa BOL .nyinyi ni wezi mnatambulika hivyo na si mbali tutawabaini
We hujui unaongea kitu gani, embu tazama hii picha.Wajinga ndio waliwao!!! teh teh teh!!! Endeleeni kuwaibia watu mikoani Dar mmeshindwa.Wana JF Hakuna kampuni ya mawasiliano ya simu inayoitwa BOL .nyinyi ni wezi mnatambulika hivyo na si mbali tutawabaini
c.c Kwetu NgoremeFeedback muhimu kaka