Kuhusu Mtandao mpya wa SMART LET'S TALK

Kuhusu Mtandao mpya wa SMART LET'S TALK

Mtandao uko poa mkuu.. Line zake zinasoma kwenye unlocked hilink modem(voda) au hata kwenye sim then ukafanya kushare hotspot. Niko dar so nakamata 2G tu nashindwa kuutumia vilivyo.Ila nina ndugu yupo mbeya wao wanakamata 3G na HSDPA. Kwa bundle ya unlimited 24hrs ya tshs1000 anaweza kushusha hadi 20GB. So uko vizuri kwa kuanzia...
 
uko poa sana huku mbinga ..kuna jamaa yangu anayo line yao...ni very fast afu siku nzima anatumia buku tu full kudownload....naomba mtu aliyeko huko mjini anitumie line jamani coz huku kwetu bado hawajafika
 
Ubovu DAR hawataki kuwekeza maana wanajua 3G Sio shida nafikiri hii mitandao miwili imekuja na akili kubwa tu
 
Naona na smile wamejaribu kupunguza gharama zao
 
Ninao huu mtandao tatizo hapa dar nj 2G bado sijafurahia utamu wake kwenye internet na sms ni bure kuanzia saa 12 jioni kila siku vocha zao mpaka ya sh 250 inapatikana
 
Kwa hapa dar hizo laini zinauzwa WAPI na vocha kabla hatujaunga tujaribishe kwa mb nione kama kitu cha kobe au
 
Kwa hapa dar hizo laini zinauzwa bei gan na vocha kabla hatujaunga tujaribishe kwa mb nione kama kitu cha kobe au

Wadau wamesema hapa Dar ni 2G hivo hapo hamna cha cheetah speed ni konokono speed lkn wataweka 4G labda itafanya miracle
 
uko poa sana huku mbinga ..kuna jamaa yangu anayo line yao...ni very fast afu siku nzima anatumia buku tu full kudownload....naomba mtu aliyeko huko mjini anitumie line jamani coz huku kwetu bado hawajafika

mi nataka kujua kwa wiki na mwezi bando zao ni bei gani na ni kubwa kiasi gani
 
kwa wale walio tumia hapa dar download speed inafika ngapi
 
Back
Top Bottom