Mapondo Mapoka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 274
- 135
uzuri wa moro ni kwenye wilaya zake siyo hapo mjini, nenda huko turiani sijui kilombero, kilosa and the like ndo utajua uzuri wa moro, hapo mjini hamna kitu
Wadau,nimekuwepo hapa Moro town kwa zaidi ya miaka 4 lakini hapo awali nimekua nikiishi nakusoma hadi high school huko mikoani. Nikiwa huko mikoani nidhahiri watu wamekua wakiisifu moro kua ni mahali pazuri sana, pana karibia kuwepo na kila aina ya starehe,majengo mazuri na vingine vingi.....
Nikweli Moro mfano kwa wasafiri wakifika round about ya msamvu panamandhari nzuri nayakuvutia kwani inadaiwa msamvu ndio round about nzuri na kubwa kwa hapa Tz, pia Moro kwa tafiti ndogo nilizozifanya watu wa mikoa mingine hupaona Morogoro mahali fulani pako vizuri sana.
Kwa mimi nilichokiona moro nipakawaida tu nisawa tu au hata kuzidiwa na manispaa zingine, miundo mbinu na sehemu za vitega uchumi kiukweli bado sana yaani nitofauti sana Moro inavyotafsiriwa na watu ambao huwa wanapita tu bila Msamvu.
Tulitegemea Moro pengine kwa kua iko karibu na
Dar mkoa wenye makao makuu ya shughuli nyingi zenye tija pia ianunganisha barabara kubwa za kuelekea kusini,kaskazini na Magharibi basi pangekua na vitega uchumi vikubwa na vyenye tija lakini bado mambo yanayofanyika ya kawaida sana.
Sijui wewe mdau unauzungumziaje mkoa huu mji kasoro bahari?
Nawasilisha.
Kwa hiyo hii ndo news alert!😀
Kwani wewe unaonaje?
Hapana mkuu hiyo sio news alert Jaribu kugoogle mkuu utapata uelewa zaidi wa news alert ni nini mkuu,Mara nyingi haiwi ndeefu kihivo na inatoa instant and brief information
Morogoro mji kasoro bahari na ziwahuku nanenane tumeshaona nikawaida yaani maji hutoka kila baada ya siku 12, nashindwa kujua nikwalipi moro imefanya vizuri na inastahili pongezi kwani kila kitu naona kawaida sana.
Magojwa ni mengi sana katika huu mji na pia kuna uchakachuzi mwingi sana hasa katika vitu vinavyotumiwa kimwili na mwanadamu,Moro ingeweza kuwa nzuri endapo miondombinu has a ya maji ingeboreshwa,lakini pia udhibiti wa bidhaa feki ni nyingi sana hapa na ndio zinapelekea magonjwa mengi.
mkuu kihonda ggani hiyo mi nipo veta huku halafhalafu umeongea kweli kabisamaji yatiririka milimani ohoo. Morogoro ohoo kweli yapendeza kuna milima na mabonde. Sisi tunaokaa kihonda tunaishukia sana manispaa yetu maji ni sheeda kwa kweli